Jana tarehe 21 hapa Mbeya hawa vijana wa Chadema walikuwa na shughuli zao za kumbukumbu ya miaka 33 ya chama chao , kama kawaida walipita pita kwa wadau wao kuomba kuchangiwa na kukaribisha watu wajumuike nao , Tunaishi nao vizuri sana wengi wao ni wahangaikaji kwa haki na jasho hivyo huwa nawapenda japo tunapishana na wachache wao wenye misimamo mikali.
POLISI MKOA WA MBEYA umeenda kuwazuia baada ya kuwaona wameshafanya maandalizi makubwa sana
Ki ukwelli ni uonevu kubwa sana sana na imeumiza mno kuona baadhi ya viongozi wao wakipigwa bila sababu.
Kama Rais naomba utoe tamko na kukemea hawa polisi wa chini nchi nzima wawaaavhie wafanye siasa zao za kawaida, kauli za ngija ngija ndo waonywe na atakayetoa ashughulikiwe yeye kama yeye kweli kweli lakini uoneu kama wa jana sio sahihi kabisa na inaleta chuki
SIUNGI MKONO MAANDAMANO YA FUJO WALA KUTOKUTIII AMRI ZA POLISI , Vyombo vifanye tathmini hivi kupanda miti , kufanya usafi chama cha siasa kinaleta uhatarishi gani wa amani? tuna wapelezi kibao wa kufuatilia mienendo yao kama kuna fujo ndo wale risasi bila huruma lakini shughuli za kawaida za siasa waachiwe ,
KUWAZUIA NDO MNAWAPA WAPENDWE ZAIDI NA KUONEWA HURUMA LEO MTAAA MZIMA TUTAWACHANGIA ELFU 50 HAMSINI KILA MFANYABIASHARA ILI WAKAKOMBOE WENZAO ASUBUHI YOTE HIII MNAWAPA UMAAARUFU KWA KUWAONEA .
KWE YE HILI CCM IBADILIKE