Heche: Chuo cha kumbukumbu ya Mtei kitafundisha kupinga Rushwa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Chama chetu [CHADEMA] kitajenga Chuo cha Kumbukumbu ya Edwin Mtei pale kwenye viwanja vyetu Dar es Salaam, eneo la Soga ili kiwe kinafundisha vijana wetu uadilifu, uongozi, namna ya kupinga rushwa, uchumi, mambo yale [marehemu Edwin Mtei] aliyotaka kuyaona yanatokea." - John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA.
 
Maana yake, katika kumuenzi mzee Edwin Mtei, mwasisi wa CHADEMA basi chama kitajenga chuo cha uongozi cha chama kwa jina la CHUO CHA UONGOZI WA CHAMA CHA EDWIN MTEI [EDWIN MTEI - CHADEMA ETHICS, POLICIES & LEADERSHIP MEMORIAL COLLEGE]

Hii imekaa vizuri sana na ikishapita, pesa sio tatizo. Ziko bwerere toka kwa wapenzi, mashabiki na wanachama wa CHADEMA hapa nchini na duniani kote...

Nadhani kikwazo kinaweza kuwa ni wivu na beuracracy serikali ya CCM kutoa vibali na usajili..

Maana hawa washenzi kama CHADEMA kufungua tawi tu huko Mbeya ikawa nongwa, wakaingiwa na woga na hofu kuu kiasi cha wakaamua kutuma polisi wenye bunduki na kung'oa bendera bila shaka walipelekea wake zao kujifunga kama khanga....

Katika scenario kama hiyo, mtu aweza kujiuliza, kama ufunguzi wa tawi tu la CHADEMA huko mtaani imewaogepesha hayawani hawa, itakuwa vipi kuruhusu jambo kubwa na nyeti kama hili la kuanzisha chuo cha mafunzo ya viongozi wa CHADEMA..??
 
Wana pesa za kupoteza. Chuo cha nini wakati kuna vyuo kibao vinavyotoa elimu nchini. Wasiwaige CCM ambao walianzisha chuo chao walipokuwa chama pekee cha siasa nchini.

Amandla...
1. HAPANA. Kuanzisha taasisi (chuo) ku - train watu wenu sio kupoteza pesa bali ni uwekezaji mzuri wenye faida kubwa. Hili ni wazo na ni mpango zuri sana

2. It's true zipo taasisi nyingi tu za umma na binafsi zinazotoa kozi mbalimbali za masuala uongozi na utawala wa kisiasa (political administration) ktk ujumla wake. Lakini hii ni kwa ajili ya CHADEMA specific kwa kufundisha itikadi, sera na uongozi kwa ktk mtindo wa ki-CHADEMA..

3. Kushindwa kwa CCM kuendesha vyuo vyao kunachangiwa na mambo mengi mno. Kumbuka kuwa, as for now hiki sio chama cha siasa anymore. Hiki ni kikundi cha wahuni waliokusanyana na kujishikiza ktk mgongo wa serikali. Haijulikani itikadi yao kama chama ni nini..!

4. Kwa hiyo, binafsi nawaunga mkono CHADEMA. Ni wazo jema..
 
Utampeleka mtoto wako akasomee uadilifu, uchumi n.k. katika Chuo cha Chadema? Chuo ambacho kwa hali ilivyo sasa hakitapa accreditation? Walimu watawatoa wapi? Au walimu na wanafunzi watatoka Chadema? Ukiondoa katika nchi za kikomunisti sijawahi kusikia chama cha siasa chenye chuo chake.

Amandla...
 
"Chama chetu [CHADEMA] kitajenga Chuo cha Kumbukumbu ya Edwin Mtei pale kwenye viwanja vyetu Dar es Salaam, eneo la Soga ili kiwe kinafundisha vijana wetu uadilifu, uongozi, namna ya kupinga rushwa, uchumi, mambo yale [marehemu Edwin Mtei] aliyotaka kuyaona yanatokea." - John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA.
Watu wenye Mawazo na maono chanya
 
1. HAPANA. Kuanzisha taasisi (chuo) ku - train watu wenu sio kupoteza pesa bali ni uwekezaji mzuri wenye faida kubwa. Hili ni wazo na ni mpango zuri sana

2. It's true zipo taasisi nyingi tu za umma na binafsi zinazotoa kozi mbalimbali za masuala uongozi na utawala wa kisiasa (political administration) ktk ujumla wake. Lakini hii ni kwa ajili ya CHADEMA specific kwa kufundisha itikadi, sera na uongozi kwa ktk mtindo wa ki-CHADEMA..

3. Kushindwa kwa CCM kuendesha vyuo vyao kunachangiwa na mambo mengi mno. Kumbuka kuwa, as for now hiki sio chama cha siasa anymore. Hiki ni kikundi cha wahuni waliokusanyana na kujishikiza ktk mgongo wa serikali. Haijulikani itikadi yao kama chama ni nini..!

4. Kwa hiyo, binafsi nawaunga mkono CHADEMA. Ni wazo jema..
Kwa hakika
 
Wana pesa za kupoteza. Chuo cha nini wakati kuna vyuo kibao vinavyotoa elimu nchini. Wasiwaige CCM ambao walianzisha chuo chao walipokuwa chama pekee cha siasa nchini.

Amandla...
Wameona vyuo vilivyopo vinatuletea wasomi majambazi...
wasomi wa Get rich soon....bila hata kufanya kazi na ndio sababu; rushwa, betting nk vimekidhiri
 
"Chama chetu [CHADEMA] kitajenga Chuo cha Kumbukumbu ya Edwin Mtei pale kwenye viwanja vyetu Dar es Salaam, eneo la Soga ili kiwe kinafundisha vijana wetu uadilifu, uongozi, namna ya kupinga rushwa, uchumi, mambo yale [marehemu Edwin Mtei] aliyotaka kuyaona yanatokea." - John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA.
Wazo zuri sana. Ni suala la muda tu ila ipo siku CHADEMA watachukua uongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom