Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya...
WANA CCM: KWELI HPP NI TAASISI
Majibu kwa Thadei Ole Mushi na wakereketwa wengine.
*Wana CCM, sijui wana UVCCM povu linawatoka sana kwa hoja za HPP badala ya kujibu kwa hoja au kwa vitendo...
Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika, nakusifu, nakushukuru, nakuabudu, nakutukuza, nakuheshimu . Nakuomba:-
1. Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, ukaharibu njia zao...
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na...
Tunapenda kuuarifu umma kuwa leo, Jumamosi, tarehe 12 Julai 2025, Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Bi. Brenda Rupia, amezuiwa kuingia nchini Kenya na kwa sasa anashikiliwa na mamlaka...
Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa.
Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE...
Wadau tupeni updates za wabunge waliotoka CDM kwenda CCM hasa wale walionunuliwa kipindi cha Magufuli.
1.David Ernest Silinde-Momba
2.Patrobas Katambi-Shinyanga Mjini
3.Mwita Waitara-Tarime...
Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.
Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku...
Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM?
Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa...
KUJITAWALA: Hatua 21 za Kuwa Mwanasiasa Mkubwa kwa Karne ya 21
Mtunzi; Robert Heriel
+255693322300
Hatua ya 4:
FANYA MAZOEZI YA UJASIRI WA KUJIELEZA.
4.1 Sauti Yako Ni Sauti Ya Taifa
Kama...
"Kama viongozi waliopigania ukombozi katika nchi mbalimbali wangeweza kusema wakoloni kulingana na mifumo yao mibovu wangesusa, na kuwaacha wakoloni Leo hii huenda nchi nyingi sana Afrika...
Sio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako.
Hii ni mbinu ya kale ya kivita.
Gekul ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani...
Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua...
Je alilenga nini na ili Iweje?
====
Kuhusu Mzozo: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alikuwa anawaelezea mawakili wake kuhusu matukio za kuporwa nyaraka ambayo ni kinyume cha sheria...
NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA kwa ujumla, yaani ni kwamba hii statement sio ya CHAMA bali tangu 2005 watu walitaka mabadiliko ila watu wenye IQ kubwa kutoka...
Gambo umejionea mwenyewe .
Lema yupo na Access ya Canada
Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya .
Ulimfanyia Figisu
Akakosa ubunge
Ukaharibu reputation yake
But now it is ur time to...
MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA.
Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania.
Jumla ya...
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Kwa heshima na taadhima, nakuandikia kwa sauti ya wananchi si kwa ghadhabu, si kwa jazba, bali kwa uchovu wa matumaini na kilio cha mabadiliko...
Nimeamini siasa ni mchezo mchafu huwa hazitegemei akili ya mtu bali mapenzi ya kiongozi wa wakati huo hasa ukitegemea na sheria zetu za uchaguzi zilivyo mbovu huna cha kufanya.
Tusione watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.