Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mliotia nia wote naona mmeanza choko choko kabla hata majina matatu hayajarudi, zingatien kaulimbiu yetu kuwa chama kwanza mtu baadae, Kama huwezi nendaaa, msitugawe na kutuharibia chama
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Super Black kweli alijisahau Sana Ila tumeamua kumsamehe.
2 Reactions
8 Replies
545 Views
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini 2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini 3. January Makamba jimbo la Bumbuli 4. Jerry Muro Jimbo la Hai 5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini 6. Luhanga Mpina kule...
1 Reactions
1 Replies
554 Views
Dkt. Kimei Aingiwa na Hofu Vunjo: Enock Koola Atamng’oa Kwenye Tatu Bora za CCM mbele ya wajumbe? Na mwandishi wetu Vunjo Tarehe: 13 Julai 2025 Katika kile kinachotajwa kama moja ya michakato...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Niwaambie tu hiki ndicho kitachokwenda kutokea baada ya uchaguzi na Mama kurudi madarani japo kiuhalisia hatuna uchaguzi na CCM wanafahamu hivyo. Kwa sasa, CCM wanajikaza tu kuendelea na huu...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Sekta ya utalii nchini Tanzania imechukua nafasi ya kwanza kama chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikipita sekta ya dhahabu kwa mara ya kwanza tangu janga la UVIKO-19. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Kuna wakati unaweza kutupa mbegu ya ovocado au kokwa la embe pembeni ya nyumba bila kukusudia kuliotesha wewe ukidhani umetupa kama uchafu mwingine. Hata hivyo kwa vile vitu hivyo vina asili ya...
2 Reactions
5 Replies
460 Views
"Nilikuja kugombea Mtwara wakati sina uhakika kama je wana Mtwara mtanichagua kuwa Mbunge ama lah, lakini kwasababu niliapa kwa Mwenyenzi Mungu wana Mtwara mlikuwa mnaonewa sana, wana Mtwara...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Wakenya wanasema 20 tena https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, imetoa rai kwa mawakala wa miamala ya kifedha kuchukua tahadhari na kufuata sheria na miongozo ya kazi zao...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15...
16 Reactions
204 Replies
16K Views
Hellow! Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya? Kwamba kwa kuwa...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Baada ya vituo vyake vya kurutubisha nuclear energy kupigwa, mamia ya askari, wanasayansi na wananchi wake kuuawa, Bunge la Iran lilipitisha azimio la kuvunja uhusiano na IAEA, taasisi ya umoja wa...
0 Reactions
10 Replies
640 Views
Tanzania yazinduwa Ndege zake Made in Tanzania kwa mara ya kwanza na kupatiwa Leseni ya kuruka na Mamlaka ya Anga nchini Tanzania TCAA kwa mara ya kwanza baada ya kukamilisha vigezo vyote.
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Nyerere aliwahi kusema kuwa Ikulu siyo pango la walanguzi. Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo Rais ndiye Alfa na Omega na kwa Rasilimali tulizobarikiwa Tanganyika ukiwa Rais hata Elon Mask na Jeff...
9 Reactions
18 Replies
998 Views
Akiiwakilisha Tanzania katika Kikao wa 47 cha Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika (AU), jijini Malabo nchini Equatorial Guinea, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Yosepha Komba ambae kwa sasa ni mtia nia wa Ubunge Jimbo la Muheza kupitia CHAUMMA amedai kuwa ni vyema kuwakabili CCM kwenye maboksi ya...
0 Reactions
3 Replies
331 Views
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania...
4 Reactions
77 Replies
2K Views
Back
Top Bottom