Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno...
9 Reactions
51 Replies
6K Views
Wanabodi, So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais...
25 Reactions
152 Replies
18K Views
Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wapigaji ni washabiki wakubwa wa Mama wapigaji wakubwa ni familia ya kikwete na Mwigulu. Wengine ni Wanzibari ambao ni wafaidika wakubwa wa uongozi wa Mama. Usalama wa taifa, balozi nchi...
7 Reactions
14 Replies
671 Views
Sitashangaa kabisa kwa sababu walichobakisha Zanzibar ni kuwa mwanachama wa CAF na FIFA Uanachama wa UN wanaurejerea tu kwa kimombo activate au kikuyu wanasema Huisha 😁 Niko hapa Mwanga mkoani...
2 Reactions
22 Replies
864 Views
Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana. Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na...
1 Reactions
3 Replies
285 Views
Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita...
0 Reactions
6 Replies
450 Views
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA. Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo...
79 Reactions
319 Replies
22K Views
Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Kwanza kufanikiwa hili ni lazima KATIBA MPYA IWEPO. Ndugu zangu, mnajua kunaujinga ulifanyika wa kuunganisha Dola na CCM miaka Ile wakati wa Mzee Nyerere !. Inawezekana Kwa Nyakati zilez...
5 Reactions
9 Replies
637 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hongera Mheshimiwa Karibu Singida Mashariki ukatuwakilishe
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Kiukweli Shujaa alikuwa mkali sana lakini alikuwa mvumilivu sana Niishie hapo 😄 Mlale unono 🙏🇮🇱
5 Reactions
21 Replies
904 Views
Moles kila mahali mnafitiana mnasemana vibaya mkifikiri ni sifa uhuru wa mawazo umbea na uzandiki kwa wengine. Haya sasa mmoja katangaza nia... mwingine kasifia nia ya mwenzake ila mwisho kajitoa...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
GT Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote. Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye...
1 Reactions
4 Replies
575 Views
Askofu Dr Malasusa amesema Wachungaji wametumwa na Mungu wa mbinguni kuleta Amani, utulivu, maelewano na kujenga mahusiano mema ya jamii Dr Malasusa amesema hayo kwenye Ibada ya kumsimika Askofu...
2 Reactions
18 Replies
824 Views
- vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Back
Top Bottom