Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. You are a very resourceful person. 2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama. 3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za...
13 Reactions
80 Replies
3K Views
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability. Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania. Watanzania wanaanza...
85 Reactions
238 Replies
15K Views
Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika; "Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa, Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Nimemsikia huyu mkuu wa mkoa kupitia east africa radio akidai Lema alikuwa akihamasisha uandikishaji kwenye eneo ambalo mwaka 2010 ndipo alipata kura nyingi na eneo hilo lina wachaga wengi...
6 Reactions
90 Replies
17K Views
Nyie wapinzani washiriki mmeona huko? CCM wanataka bunge la pure and poor machawa. Nyie endeleeni kusindikiza ila kama Mpina ambaye ni mpinzani mwenye kaupinzani kiduchu ameenguliwa na hatakiwi...
7 Reactions
10 Replies
453 Views
Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama! Hivi...
1 Reactions
6 Replies
373 Views
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Sitaki kuamini hii naomba isiwe kweli . Gambo huyu aliyekuwa anamnyanyasa Lema Gambo huyu huyu mpakaji wa Majungu . Gambo huyu huyu ambaye alizuia hosptali ya Mama na mtoto isijengwe Arusha...
1 Reactions
15 Replies
929 Views
Tukielekea kwenye uchafuzi, hapa mji wa mawese huwa hatupoi, waha ndo mambo yetu haya. Mchuano unaosubiriwa ni wa wakuitwa, Kijicho Upembe (Zitto Kabwe) vs Chawa Pro Max (Baba Levo). Hilo jina...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa...
15 Reactions
57 Replies
3K Views
Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza...
6 Reactions
17 Replies
889 Views
Wananchi wamemchoka Mh Abood na misaada yake ya kuzika watu.kuna watu hutafuta clip ya Mbunge wao anachochangia bungeni hawakioni. Tunajua wajumbe wakipitisha jina ameshinda kwa vile ni CCM,Sasa...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, ameikosoa vikali Serikali kwa kushindwa kushughulikia tatizo la ajira kwa walimu pamoja na uhaba mkubwa wa walimu mashuleni...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. kwenye mada..... Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali juu ya kilichotokea jimboni kisesa ilipokuwapo ziara ya Rais na Mwenyekiti wa Chama...
1 Reactions
17 Replies
798 Views
Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani. CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni...
3 Reactions
14 Replies
659 Views
Asante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki . Pamoja Sana katika upambanaji wako . Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Utampenda Mayala mwandishi wa habari na mwana CCM asiye mnafiki.
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Huenda Ndicho kinacho sukwa kwa sasa. Mtazinduka mmesha jikojolea tayari.
1 Reactions
10 Replies
462 Views
Back
Top Bottom