Status ya wabunge waliohama kutoka CDM kwenda CCM

Status ya wabunge waliohama kutoka CDM kwenda CCM

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,815
Reaction score
33,486
Wadau tupeni updates za wabunge waliotoka CDM kwenda CCM hasa wale walionunuliwa kipindi cha Magufuli.
1.David Ernest Silinde-Momba
2.Patrobas Katambi-Shinyanga Mjini
3.Mwita Waitara-Tarime Vijijini
4.Godwin mollel-Siha
5 .Ester Bulaya-Bunda
6 Ester Matiko-Tarime Mjini
7.Upendo Peneza-Geita
8.Msingwa-Iringa
9.Paulina Gekuli-Babati Mjini
10.
 
No 5 mtoe kwenye list yako bro; huyo ni mtoto wa Lumumba kitambo sana, huenda alikwenda CDM kwa kazi maalumu
 
Back
Top Bottom