DONDOO ZAKE:
* Bado CCM ndio chama chenye uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 75%
* Ni ngumu kufanya mabadiko ya Katiba ndani ya kipindi hiki kuelekea uchaguzi
* Kanisa Catholic halijawaambia...
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona...
"Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za...
Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kutaka marejeo ya uamuzi wa mahakama ya kisutu kuahirisha kesi ya kuchapisha taarifa za uongo. mahakama imesema maombi hayo...
Tumjadili Zitto, kweli huyu ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi amekula kitu kutoka CCM
Soma pia: Pre GE2025 - Je, ACT Wazalendo watakubali kushinikiza maboresho ya sheria ya uchaguzi...
Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli.
CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeitaka Tume huru ya Taifa nchini (INEC) kuwachukulia hatua kali za kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa sheria ya tume hiyo, wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa...
Fridah mmanga - mratibu wa Sauti ya Mwanamke Sandukuni
Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2025 sauti ya mwanamke wamezindua kampeni ya #MwanamkeSandukuni ambayo inamtaka mwanamke kushiriki uchaguzi...
CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote
Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi...
Nipo hapa Isimani naelekea Dodoma Kiukweli Unaweza kudhani uko Kibondo maporini huko au kule Upareni ndani ndani karibu na Rombo ambako maendeleo wanayasikia redioni tu
Tatizo ni nini hasa ikiwa...
My Take
Wale wa Katiba Mpya na stori mnazoambiwa muwe mnachanganya na zenu.
Ni afadhari Kusiwe kabisa na Katiba Mpya kuliko.kuwa na Katiba Mpya ambayo itaingiza matapeli wapya kwenye madaraka...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuwekeza nguvu zaidi katika kuimarisha doria na misako usiku na mchana nchi nzima katika kipindi cha kuelekea...
Mawakili wanaojiita WASOMI wa CHADEMA wanashindwa kugundua hilo,
kesi kila siku mapingamizi hayaishi kesi itaishaje jamani
hawajui value ya muda katika kesi ndio linawa cost mwaka utaisha wapo...
Makamu Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Mtemi Msogata Fundikila ametangaza kuwa kesho ataungana na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tabora na mikoa ya jirani kufanya Dua maalumu ya kuiombea amani...
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za...
Wasalaam wana jamvi
Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushtua zaidi ni mpango wa CHADEMA wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo
Lissu...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) anawasili kesho jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo muhimu na serikali ya Tanzania kuhusu demokrasia, haki za binadamu na maandalizi ya uchaguzi mkuu...
Nadhani Mwamba wa nchi jirani alijisahau kwamba yeye ndiye mwenyekiti wa EAC
Inasemekana T-shirts zenye Picha ya Tundu Lisu zinanunuliwa kwa kugombaniwa nchini humo
Inasemekana Congo nako...
Huo mfumo unaitwa DUMA tangu tarehe 30/6/2025 malipo Yamesimama. Hawa wahindi washishindwa na wafanyakazi wao wana Hali mbaya kifedha.
Na wahindi hawataki kukubali wameshashindwa
Pichani ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.