Padri Charles Kitima azungumzia kampeni ya No Reforms No Elections, Msikilize

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,987
DONDOO ZAKE:

* Bado CCM ndio chama chenye uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 75%

* Ni ngumu kufanya mabadiko ya Katiba ndani ya kipindi hiki kuelekea uchaguzi

* Kanisa Catholic halijawaambia waumini wake wasishiriki uchaguzi
 
Kanisa Katoliki lisimung'unye maneno, Liagize waumini wake Wasishiriki Uchaguzi huu.

Hakuna haja ya kurembesha, Shetani apigwe tu.
 
DONDOO ZAKE;
* Bado CCM ndio chama chenye uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 75%

* Ni ngumu kufanya mabadiko ya Katiba ndani ya kipindi hiki kuelekea uchaguzi

* Kanisa Catholic halijawaambia waumini wake wasishiriki uchaguzi
View attachment 3401780
Ni akili kubwa tu itaelewa mantiki ya maneno ya Ph.D ya ukweli Kitima.
 
DONDOO ZAKE;
* Bado CCM ndio chama chenye uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 75%

* Ni ngumu kufanya mabadiko ya Katiba ndani ya kipindi hiki kuelekea uchaguzi

* Kanisa Catholic halijawaambia waumini wake wasishiriki uchaguzi
View attachment 3401780
Katibu wetu wa takatifu katoliki la mitume anatukosea aana
 
Erythrocyte unasemaje mwamba?
Wewe mleta mada unachojoa unachokiona kinakufaa. You should not report in isolation of other parts of the whole speech!
Padre ansema muda upo wa marekebisho yasiyohitaji Katiba kubadirishwa...kama wakurugenzi wa uchaguzi, wasimamizi, hasa kanuni..sikiliza parts zingine za interview yake.
 
Back
Top Bottom