Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia...
1 Reactions
2 Replies
316 Views
Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama. Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao...
29 Reactions
47 Replies
3K Views
Mwezi kama huu Mwezi Julai, pangekuwa Patashika Nguo Kuchanika. Kwa mliokuwa hai mwaka 2015 na 2020, harakati za uchaguzi zilioesha shamla shamla kiasi kwamba wananchi wanasahau shida zao angalau...
12 Reactions
90 Replies
3K Views
Naipenda CCM Sana Kwa mema yote waliyofanya nchini toka Uhuru.
3 Reactions
11 Replies
918 Views
Habari zenu ndugu zangu Katika utaifa wetu wa Tanzania. Leo nataka tujaribu kuangalia mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa Oktoba mwaka huu. Watanzania wanajiandaa...
0 Reactions
18 Replies
600 Views
Ni mdahalo unaendelea Panga Panga majimboni na ni Singida Kaskazini wapo watu wa CDM kijana Engineer na Lazaro Nyalandu ,Pia yupo mgombea mwingine nitamtaja. Lazaro kajitambulisha na kutoa sera...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela amesema Wajumbe wanapaswa kuwachagua viongozi ambao licha ya kazi yao watazingatia Utu . Kasesela amesema Kazi na utu ndizo nguzo huku akisema unaweza fanya kazi...
0 Reactions
4 Replies
380 Views
Baadhi ya watia niya katika jimbo la kigoma mjini kutoka kushoto ni mwandishi wa habari Nguli Baruani Muhuza,Dr.Maulidi Kikondo na Mr.John wakiwa katika picha ya pamoja wamekusudia kumng'oa Mbunge...
0 Reactions
8 Replies
921 Views
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Jessica Mshama, amesema kuwa CCM inatambua na kuthamini uwezo wa vijana katika uongozi na...
0 Reactions
5 Replies
405 Views
Ukishangaa ya Zito utayaona ya mzee wasira
1 Reactions
6 Replies
829 Views
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema kuwa chama chochote cha siasa kitakachoshindwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi hakitaruhusiwa kufanya kampeni, ingawa kitapewa fursa ya kushiriki...
1 Reactions
3 Replies
581 Views
Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu? Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko.... NASOMA COMMENT
7 Reactions
134 Replies
3K Views
Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au...
19 Reactions
104 Replies
6K Views
Zitto, Masele,Tumbuli nk ongezea Why always kigoma?
0 Reactions
6 Replies
483 Views
Siasa zina maajabu yake Yaani baba Levo aliyefungwa jela ni maarufu kumzidi Zitto Kabwe wa Buzwagi? Mimi ni CCM lakini nasema Zitto Kabwe ukiondoa mambo yako ya Udini ni Kiongozi super kabisa...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlanje, Kata ya Matongoro, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Elisha Mpanda, amerudishwa madarakani baada ya uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari. Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza...
49 Reactions
81 Replies
5K Views
Wakuu! CHAUMMA wanaingia kama Avengers wa siasa! Katibu Mkuu wao, Salum Mwalimu, anasema wapo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani lakini si kwa chokochoko, bali kwa maarifa na...
2 Reactions
14 Replies
956 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom