Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi (...
Aliyekua Waziri wa uchumi wa Ujerumani na baadae Counsellor ambae alifufua uchumi wa Ujerumani baada ya kuharibiwa na vita ya Hitler alindika kitabu chake kinachojulikana kama "Prosperity through...
NAMUUNGA MKONO MWIGULU NCHEMBA
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amependekeza jambo lenye uzito mkubwa wa kiheshima, uzalendo, na uhamasishaji wa uwajibikaji wa raia. Wazo lake la kuweka mabango...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa...
Ni kwa nia njema ya kuwajulisha wasiomjua Martha Karua hasa upande wake wa uovu. Mwaka 2007 hadi mwanzoni mwa 2008 kulitokea machafuko ya baada ya uchaguzi yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu...
Angalia kwa Umakini halafu toa Maoni yako
Picha ya Chini ni Mwananchi Akifuatilia Spana za Chadema bila kujali Mvua kubwa kwenye moja ya Mikutano ya Chama hicho iliyowaamsha Wananchi wote Tanzania
Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtaalamu wa Teknolojia ya Habari, Elias Mdao, leo Jumamosi tarehe 28 Juni 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la...
Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi wa Azam TV, Timothy Chelula, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma, kupitia Chama...
Hii nchi kama unataka kuchukia watu bila sababu unaweza kufa kabla ya wakati.
Hii nchi kama una akili timamu kabisa jidai huna utaishi kwa amani kabisa.
Jipendekeze kwa sana na kuwalamba miguu...
Conclusion: Kuna watu wakitoweka na kufariki ni serikali imehusika, ila sio kila mtu akitoweka na kufariki katika mazingira tata ni serikali imehusika!
Haya, tumewasikia. Tulisema siku nyingi...
Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe...
Ndugu zangu wanajamii forums wenzangu na wasalimu kwa jina la uhuru kamili wa Mtanganyika.
Nichukue nafasi hii kuja kumchapa viboko Padre Kitima.
Sababu kubwa kuu 1, kuona tunapoelekea kubaya...
Assalam alaykum
Mie nimekuwa nafwatilia mtifuano wa wanaharakati wa mabadiliko haswa Chadema na jeshi la Polisi na vyombo vingine Huwa nashangaa sana
CCM wanadhani kuwa mabadiliko...
Kwa kweli, muunganiko wa viongozi wa kisiasa na wa kidini mara nyingi si wa bahati mbaya—ni wa kimkakati. Unalenga kudhibiti fikra, hisia, na nguvu ya watu kwa pamoja. Tukiitazama kwa jicho la...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,
Nchi ya Tanzania kwa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddy Kimanta amesema suala la udumavu linaweza kuwa chanzo cha kupata Viongozi ambao wanashindwa kufanya maamuzi.
Amesema hayo wakati wa...
Zimebaki siku kadhaa kuelekea kutafuta HAKI. Bila shaka muda huu upande wa mashtaka wanapanga namna ya kupeleka maombi ya kupeleka mbele kesi. Wanafanya hivyo kwa sababu waendesha mashtaka hawana...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema
kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda.
Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.