Fridah mmanga - mratibu wa Sauti ya Mwanamke Sandukuni
Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2025 sauti ya mwanamke wamezindua kampeni ya #MwanamkeSandukuni ambayo inamtaka mwanamke kushiriki uchaguzi...
CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote
Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi...
Nipo hapa Isimani naelekea Dodoma Kiukweli Unaweza kudhani uko Kibondo maporini huko au kule Upareni ndani ndani karibu na Rombo ambako maendeleo wanayasikia redioni tu
Tatizo ni nini hasa ikiwa...
My Take
Wale wa Katiba Mpya na stori mnazoambiwa muwe mnachanganya na zenu.
Ni afadhari Kusiwe kabisa na Katiba Mpya kuliko.kuwa na Katiba Mpya ambayo itaingiza matapeli wapya kwenye madaraka...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuwekeza nguvu zaidi katika kuimarisha doria na misako usiku na mchana nchi nzima katika kipindi cha kuelekea...
Mawakili wanaojiita WASOMI wa CHADEMA wanashindwa kugundua hilo,
kesi kila siku mapingamizi hayaishi kesi itaishaje jamani
hawajui value ya muda katika kesi ndio linawa cost mwaka utaisha wapo...
Makamu Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Mtemi Msogata Fundikila ametangaza kuwa kesho ataungana na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tabora na mikoa ya jirani kufanya Dua maalumu ya kuiombea amani...
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za...
Wasalaam wana jamvi
Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushtua zaidi ni mpango wa CHADEMA wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo
Lissu...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) anawasili kesho jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo muhimu na serikali ya Tanzania kuhusu demokrasia, haki za binadamu na maandalizi ya uchaguzi mkuu...
Nadhani Mwamba wa nchi jirani alijisahau kwamba yeye ndiye mwenyekiti wa EAC
Inasemekana T-shirts zenye Picha ya Tundu Lisu zinanunuliwa kwa kugombaniwa nchini humo
Inasemekana Congo nako...
Huo mfumo unaitwa DUMA tangu tarehe 30/6/2025 malipo Yamesimama. Hawa wahindi washishindwa na wafanyakazi wao wana Hali mbaya kifedha.
Na wahindi hawataki kukubali wameshashindwa
Pichani ni...
Chama cha ACT Wazalendo kimeonesha kutoridhishwa na namna Mbunge wa Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Bi. Anne Kilango Malecela anavyolihudumia jimbo lake kikisema kuwa alitoa taarifa za uongo...
Wananchi wa Jimbo la Mwibara, lililopo mkoani Mara, wamemwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), awasikilize...
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Deus Kibamba, ameshauri kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu, ni muhimu kupunguza maslahi na stahiki mbalimbali wanazopata viongozi wa kisiasa, ambazo...
Hawa ndio Wabunge wanawake Watano bora Bunge la 2020/2025 kwa MICHANGO yao Bora kabisa kwa Taifa na Kwa majimbo yao kwa wale wenye majimbo!
I. Sophia Mwakagenda,Viti Maalum Chadema,kwa sasa Chama...
Wakuu,
ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya
=======
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali...
Viongozi wa Ulaya wamezindua Alhamisi mjini Rome, mkutano wa kila mwaka wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine baada ya vita, wakitarajia kukusanya dola bilioni 12.
Waziri Mkuu wa Italia...
Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika...
Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri.
Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.