Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu amesema kuwa mauaji ambayo yameendelea kusikika mpaka sasa haijawa haki watu wanyamaze, ameongeza kuwa 'Kama mauaji yanatendeka, si yanatendeka, hatusemi wewe ndiye unayatenda, lakini si...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu! Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa Mh Albert Chalamila amesema Wanasiasa ndio hao hao Waumini wa Kanisani na Waumini wa Kanisa wapo Siasani hivyo ushirikiano ni muhimu Chalamila alikuwa akiongea kwenye kongamano la...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Askofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika hali ya kutatanisha iliyojitokeza mjini Moshi, kikao cha kamati ya siasa ya Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezua maswali mengi kuhusu uwazi na uaminifu wa viongozi wa chama. Kanuni...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Dar es Salaam, 9 Julai 2025 – Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cyprus leo zimesaini hati za makubaliano (MoU) za kushirikiana katika mashauriano ya kisiasa na usafiri wa majini, hatua...
1 Reactions
11 Replies
728 Views
Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida Ilikuwa ni chuki binafsi Utekaji umeisha? Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa Halafu anatetea watu Kama hawa...
39 Reactions
119 Replies
4K Views
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo. Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused...
60 Reactions
320 Replies
13K Views
Kwa Mara ya Kwanza Barani Afrika Wanafunzi wa Misri Wazindua Mpango wa “Diplomasia ya Afya” Kairo ilishuhudia uzinduzi wa toleo la kwanza la Mpango wa “Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba”...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3 Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza.. Kwa ufupi sana Martha Karua anasema: • Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili...
22 Reactions
66 Replies
3K Views
MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na...
3 Reactions
10 Replies
917 Views
Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki Kongamano kuhusu Kukuza Huduma za Afya...
1 Reactions
2 Replies
351 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameipongeza Msumbiji kwa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru. Pongezi hizo amezitoa kwenye hafla...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA TUME KUHUSU MALALAMIKO YA KUPIGWA KWA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO LINALODAIWA KUFANYWA NA ASKARI WA MAMLAKA WA MJI MKONGWE ΚΑΤΙΚΑ ENEO LA DARAJANI, WILAYA YA...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Miaka mitano hii imepita ni miaka migumu sana, sheria za hovyo zimepitishwa ndani ya Bunge, leo hii matukio ya utekaji yameongezeka mnaambiwa watekaji ni watu wasiojulikana, leo hii Usalama [Wa...
1 Reactions
10 Replies
499 Views
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
08 Julai 2025 Tanzania, Oman zinashinikiza kuwepo kwa makubaliano ya haraka ya kazi ili kuwalinda wafanyakazi wahamiaji Kurasimisha makubaliano na Oman kungeashiria hatua muhimu ya kuimarisha...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Yeye Makanisa yanayomsifia ndio anayapenda na kuyasifia yanafanya kazi ya Mungu Makanisa yanayokemea Utekaji ,Upoteaji na Mauaji, anayaita Makanisa yanayofanya Kazi ya Shetani !!. Kwamba anataka...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
"Kwanini uhonge na kwanini uhongwe, chagua anaestahili, sikiliza sera zao. Na sasa dakikia za mwishomwisho watu wameanza kujipendekezapendekeza hapana. Mauaji ambayo yameendelea kusikika mpaka...
1 Reactions
4 Replies
673 Views
Hii inahitaji kuwa basis ya national dialogue; Tanzania haijafika tu kwenye stagnation ya democracy kama wengi wanavyodhani, bali kuna other fronts ambazo ukizimulika deeply utagundua kwamba...
3 Reactions
0 Replies
408 Views
Back
Top Bottom