Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba...
Wadau,
Kufuatia sakata la hivi karibuni la utendaji usioridhisha wa wizara mbalimbali au in short serikali kujadiliwa bungeni ni mawazo yafuatayo kuhusu taasisi ya bunge, kwamba isipokuwa makini...
Investigators suspect the money was meant for buying diamonds, as one of the suspects was found to have diamonds from Tanzania at his home in Italy
Tanzania security agencies are investigating...
Inatosha: Ubadhilifu Fedha za Walipa Kodi Ukomeshwe! Sikika imesikitishwa na kushtushwa na ripoti ya iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG) iliyoibua matumizi mabaya...
Katika mwaka 1968 Hakimu Seaton, Hakimu wa Mahakama Kuu; alitembelea gereza la Mwanza. Nilimuuliza kama kuna uhalali wowote juu ya kuwekwa kwetu kizuizini. Mkuu wa gereza akamwambia Hakimu kuwa...
Inaonekana Mawazi wengi waliojiuzulu wameonewa na hata watendaji wengine wa Serikali. Rais wetu anafahamu tatizo liko wapi lakini anawakingia kifua wahalifu kwa sababu anazojua mwenyewe lakini...
Licha ya kuwapo kwa fununu ya mawaziri kujiuzulu lakini Zitto amesema azima ya kuwasilisha hoja yake Jumatatu iko pale pale.
"Spika hajasema kitu, wamejipanga tu hawa, sisi hatujampelekea hoja...
Makinda spika wa bunge letu ni spika asiye elewa wakati wote hisia za wananchi yeye maamuzi yake mengi huwa ni jinsi anavyo hisi basi ,tafakuri kwake no daima ni mama wa kupinga hata hisia za...
Kusema kweli mimi sijamwela Jk na baraza lake la wezi, majambazi na wezi na wahuni.
Hivi wameiba mali ya chama au serikali? Wameiba mali ya walipa kodi au ya CCM.
Iweje chama kiwe kama...
Tumaini langu ni kwamba member wote mmeamka salama. Na naomba tusaidiane hili;
Kumbukumbu zangu zinaonesha kuwa Nchi yetu mpaka hapa ilipofikia ilishwahi kuwa na Mawaziri Wakuu 9 toka tupate...
Kuna taarifa nimezipata kuwa kuna diwani mmoja amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kosa la jinai lakini baadhi ya viongozi wa CCM wamemsaidia yeye kutumikia kifungo cha nje pamoja na wenzake...
Ikiwa kama jambo lolote hata linalohusu utendaji wa wizara moja basi lazima rais ndo atoe jibu; ivi job description ya makamu wa rais inasemaje? Kimsing mbona kama hahitajiki?
Wana bodi naomba kujua ile ratiba ya Wakombozi wa Nchi yetu lini CHADEMA watakuja Mtwara?,kuna watu humu jamvini wanatufikiria sisi watu wa huku ni wale ambao wao waliwaacha kile kipindi...
KWENYE SIASA WATU WAZIMA WANAKUWA KAMA WATOTO SOMETIMES MAANA HAPO CHINI INANIKUMBUSHA ENZI ZILE ZA MTOTO MWENZAKO UKIGOMBANA NAE MABAYA YOTE ANAYAWEKA WAZI ENZI ZILE MULIPOKUWA NA AMANI, SASA...
JUMAPILI ya Leo 23.04.2012 Mjadala wetu tunauelekeza katika kutathimini Ukomavu wa Demokrasia na nafasi ya vyama vya Upinzani NCHINI katika kufanikisha hitajio la watanzania juu ya Utawala bora na...