mh.MOHD ABOUD wewe kwenu ni wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mh.MOHD ABOUD wewe kwenu ni wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtalii1, Apr 22, 2012.

 1. m

  mtalii1 Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona unawasemea waznz, waachie waamue wenyewe.
   
 2. k

  kula kulala Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alichokisema nini mbona hatukufahamu
   
 3. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Hawa ndio maharamia wa inchi yetu, kujifanya kugombea ubunge kupitia CCM , Kupenyeza uharamia wao kupitia mawaziri wenye tamaa ya kupindukia. mfano hai Rostram Aziz.
   
 4. l

  lum JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ''jamaa anasema wanaokataa muungano ni wachache''
  kama anayoyasema ni kweli si waweke kura ya maoni 2 watizame maamuzi ya WAZANZIBAR
  ZOGO LA NN?
   
 5. m

  mzaire JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Abudi aogopa kupoteza fupa alilonalo, wacha apige porojo wazenji endeleeni mbele mwacheni na gamba lake huyo.
   
Loading...