Maamuzi ya JK ni ya CCM au ya Wapigakura? Nchi hii ya CCM au wananchi

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Kusema kweli mimi sijamwela Jk na baraza lake la wezi, majambazi na wezi na wahuni.

Hivi wameiba mali ya chama au serikali? Wameiba mali ya walipa kodi au ya CCM.

Iweje chama kiwe kama muhimilu wa Dola?

Tabia ya kuweka maslai ya chama badala ya nchi ni upumbavu.

Ninaamini ukiwa mchafu lazima ndo haya tunayoyaona JK ni mwizi namba moja amini kweli nasema.

Watanzania tuamke tuchukue nchi yetu
 
JK anajua hii nchi ni yake na RZ1 hence mamuzi ya kejeli kwa watanzania kama haya pili ni dharau kwa Bunge na kwa kuwa speaker ni Zero hawezi kureact hata mara moja. Only solution ni msikumo toka WB, IMF and other sponsors atahitaji kupeleke Bakuli la OMBA OMBA Huko ili waibe tena
 
Inabidi tukubaliane sote sasa kwamba JK ni kirusi hatari na ndo mhusika mkuu wa nchi yetu kuuzwa na kufikia hapa na wananchi kupigika namna hii

Kwa vile ilishasemwa kuwa JK ndo ataiondoa CCM madarakani basi tumwache aendelee kuwalinda viraza wake ili sisi watanganyika tuamke na kuiondoa CCM na rais wake madarakani ndani ya miezi 6 tu ijayo,iwe ni kwa maandamano,kwa kutembea usiku kucha ama hata kwa vita ikibidi

Tumechoka sasa na ni sharti JK na wezi wenzie waondolewe kwa nguvu tena mara moja

Mbona Madagascar waliweza?mbona Tunis waliweza?mbona wenzetu wanaweza?
 
Kusema kweli nimechoka mi ni mfanyakazi nakatwa kodi zaidi ya mbili na michango kibao halafu mwendawazimu anakula kiulaiini nimwache eti ni upepo kakosea haya ni MAPEPO ya magogoni
 
nGOJA TUANZISHE PEOPLES POWEEEER

mimi ninaomba JK aendelee kuwa na moyo mugumu kama aliokuwa nao Pharao wakati musa alipokuwa ametuma na Mungu ili kuwakomboa wana wa Israel(waTanzania) kutoka katika utumwa wa misri(CCM).

Japo wadanganyika ni wagumu ninadhani wapinzani wote kama inavyoonesha kwa sasa wakihamasisha wadanganyika then UKOMBOZI WA KWELI UMEKARIBIA NA HAPA NDIPO HATA HAO WABUNGE WA CCM AMBAO KAZI ZAO NI KUSEMA NDIYOOOOOOOOOO WAKIWA BUNGENI WATALIA NA KUSAGA MENO!

WITO JK ASIKUBALI MAWAZIRI KUJIUZULU, WAPINZANI THEN MOBILIZE WATU NA UKOMBOZI UTAFIKA KABLA 2012.
 
JK anapenda utani katika mambo ambayo ni serios. Naomba wabunge wapashe misuli moto kwa kusoma sheria inasemaje juu ya kumpigia rais kura ya kutokuwa na imani nae?

Pinda anajua ugumu anaoupata kwa wabunge jinsi wanavyomkaanga sasa JK yeye hajui naye aingizwe kikaangoni bila huruma endapo atanusurika atajifunza.
 
Kusema kweli mimi sijamwela Jk na baraza lake la wezi, majambazi na wezi na wahuni.

Hivi wameiba mali ya chama au serikali? Wameiba mali ya walipa kodi au ya CCM.

Iweje chama kiwe kama muhimilu wa Dola?

Tabia ya kuweka maslai ya chama badala ya nchi ni upumbavu.

Ninaamini ukiwa mchafu lazima ndo haya tunayoyaona JK ni mwizi namba moja amini kweli nasema.

Watanzania tuamke tuchukue nchi yetu

Maamuzi ya JK ni ya majambazi na wezi wote wanaoitafuna Nchi tangu zamani wakiongozwa na yeye mwenyewe JK.

Na ni maamuzi ya CCM Mfu na si wananachama wake ambao tunapigika nao vibaya.
 
Inabidi tukubaliane sote sasa kwamba JK ni kirusi hatari na ndo mhusika mkuu wa nchi yetu kuuzwa na kufikia hapa na wananchi kupigika namna hii

Kwa vile ilishasemwa kuwa JK ndo ataiondoa CCM madarakani basi tumwache aendelee kuwalinda viraza wake ili sisi watanganyika tuamke na kuiondoa CCM na rais wake madarakani ndani ya miezi 6 tu ijayo,iwe ni kwa maandamano,kwa kutembea usiku kucha ama hata kwa vita ikibidi

Tumechoka sasa na ni sharti JK na wezi wenzie waondolewe kwa nguvu tena mara moja

Mbona Madagascar waliweza?mbona Tunis waliweza?mbona wenzetu wanaweza?
 
Hapa M4C na lema wao wanapata singo ambayo itakuwa brand sokoni,itapendwa mno.JK ni wezi wale wale.
 
Tumshukuru JK. Anachofanya ni kuharakisha kifo cha CCM . . . .
kwa hiyo mkuu unashauri tuendelee kuishi katika dhambi kwa kuwa neema inakaribia? yaani tuendelee kuacha watu wachache wafaidike ili ccm ife?
 
Back
Top Bottom