Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara, Chacha Heche, amesema kuwa hadi sasa chama pekee cha upinzani chenye uwezo wa kuibana CCM kisiasa na kulazimisha mawazo...
Nawatakia utulivu wa moyo na kifikra watia nia wote wa nafasi za ubunge na udiiwani kupitia CCM katika kipindi hiki cha joto la mjujo mchujo wa uteuzi kuelekea uchaguzi mkuu.
Binafsi nimechukua...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanazidi kunoga, mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga...
Makamu wa Rais amemuagiza mkuu wa Mkoa Arusha kutoa milioni 20 kambayo ilikua imebaki kutoka kwenye hela ya rambirambi iliyocahngwa kwa wanafunzi wa walionusurika ajali Lucky Vincent Arusha kwa...
MEYA ARUSHA AMJIA JUU RC GAMBO, ATAKA AOMBWE RADHI
Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro ametoa siku saba kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amuombe radhi kwa kosa la kumuweka ndani wakati...
Viongozi hawa vijana,Wakuu wa mikoa,wamekuwa wakitoa ahadi za kutoa milioni kadhaa au kugawa vitu vya mamilioni. Na wamekuwa wakitimiza ahadi zao. Mamilioni yamekuwa yakigawiwa toka kwao.
Ni...
Hawa vijana wa sasa wanatakiwa wafundishwe "historia za Wakuu wa Mikoa" ili waweze kujifunza na kuishi na jamii husika bila kupandikiza chuki.
Hili Mwalimu alilitambua baada ya tukio la Mkulima...
Katika hali ambayo haikutarajiwa mkuu wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo ameanza kumhujumu mkuu wa mkoa Bwana Ntibenda. Hali hiyo imetokea leo eneo la nane nane Arusha,leo ndio siku ya uzinduzi...
Mbunge yoyote upimwa kwa (I)mchango yake Bungeni katika kusimamia Serikali(II)Uwezo wa kufanya "mobilisation" ili kuweza KUSUKUMA Maendeleo katika Jimbo lake na (III)mara ngapi amechangia Bungeni...
Wanafunzi wa chuo cha VETA Geita kilichopo kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusogeza huduma ya masomo bure katika chuo hicho...
Naomba kujuzwa na wajuzi wa dini
Askofu Bandekile Mwamakula yule anayeshinda na CHADEMA hana waumini Tanzania anaowasalisha Hata mahali pa kuabudia hana inakuwaje anaitwa Askofu?
==
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Viwanja vya...
"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na...
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking...
Tundu lissu Leo amefanyiwa vitu vinavyoashiria hukumu ya kesi yake askari magereza wanaijua tayari,!! Nikama tundu lissu tayari amehukumiwa, ni mfungwa na Hawa askari wanamuescot tundu ni kama...
Tanzania na Ethiopia zasimika mikakati ya kukuza ushirikiano wa kiuchumi
Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Mawaziri wa Umoja wa Afrika, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.