ARUSHA: Makamu wa Rais amwagiza RC Mrisho Gambo kukabidhi fedha za rambirambi alizochukua kwa wahanga wa ajali

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Makamu wa Rais amemuagiza mkuu wa Mkoa Arusha kutoa milioni 20 kambayo ilikua imebaki kutoka kwenye hela ya rambirambi iliyocahngwa kwa wanafunzi wa walionusurika ajali Lucky Vincent Arusha kwa ajili ya kuwasomeshea watoto hao

Mwanzoni Mrisho Gambo alikabidhi kiasi tu cha fedha kwa wahanga hao na kudai atajengea hospitali na kuleta sintofahamu kubwa

 
Huyu mama ni kwa vile ni mgombea mwenza tuu hivyo katiba inamlinda jamaa hana ubavu wa kumtumbua kwa jinsi anavyo fanya mambo ya kumuuzi kinyume na apendavyo yeye.
hawezi kuwa anawaadhiri hivi watoto wake wapendwa. Nakumbuka ile issue ya kufukuza watumishi hovyo, mama alikuwa mbogo na kuwaambia ma Rc na Dc hataki kusikia eti wanafukuza watu bila kufuata sheria za mamlaka husika. Pia suala la mimba za watoto mashuleni wana mitazamo tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom