George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 59
- 42
Mbunge yoyote upimwa kwa (I)mchango yake Bungeni katika kusimamia Serikali(II)Uwezo wa kufanya "mobilisation" ili kuweza KUSUKUMA Maendeleo katika Jimbo lake na (III)mara ngapi amechangia Bungeni kuhusu KERO za Wananchi wake!
Ndani ya Wabunge hili la 2020/2025 Hawa hapa walikuwa vinara kwa (I)michango makini(II)michango mingi (III)utatuzi wa KERO za Wananchi jimboni kwake!
I.Mh Halima Mdee,Viti Maalum Chadema!
II.Mh Konjesta,Mbunge Momba,Mkoa wa Songwe!
III.Mh Masache Kasaka,Mbunge Chunya,Mkoa wa Mbeya!
IV.Mh Profesa Sospeter Muhongo,Kutoka Mkoa wa Mara(..)
V.Mh Festo Sanga,Mbunge Jimbo la Makete,Mkoa wa Njombe!
Hawa walikuwa vinara wa hoja nzito katika Bunge la mwaka 2020/2025 na majimboni kwao hatua kubwa za maendeleo zimepigwa ndani ya muda mfupi sana!
Wanastahili kupewa nafasi nyingine tena 2025/2030!