Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za Udiwani. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia...
4 Reactions
92 Replies
4K Views
Nilisema hapa kwa kurudia rudia kwamba kamwe Mchungaji Msigwa hawezi kushinda Ubunge Iringa mjini kwa tiketi ya CCM lakini hakunisikia Navalonge swela 😂✔️
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Anandika Hllda Newton kupitia ukurasa wake wa X: --------------------------- Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA Brenda Rupia amekamatwa na maofisa wa Uhamiaji akiwa ofisi za Uhamiaji...
1 Reactions
88 Replies
5K Views
Siasa za fitna haziwezi kuijenga Tanzania, tushikamane na Rais Dk. Samia kwa maendeleo
0 Reactions
14 Replies
504 Views
HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa. Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na...
1 Reactions
4 Replies
430 Views
Pole Sana Gambo Karma imekupa haki yako unayostahili
1 Reactions
7 Replies
520 Views
GT. Uchaguzi uliojaa hila ni haramu jiepushe nao..
7 Reactions
16 Replies
661 Views
Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge. Kwa upande wa...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa. Kutokana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa...
17 Reactions
162 Replies
12K Views
Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua...
2 Reactions
12 Replies
664 Views
Hili liko Wazi, Kwa Kisesa huwezi itenganisha na MPINA, MPINA ndio Kisesa na Kisesa ndio MPINA. Kama CCM wanamkata MPINA mwenye Jimbo lake, maana yake hamna mwanaCCM pale anayekubalika, hii...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu tuwachukulie Watu Hawa Makamba na Mpina kama ndo Subjects wetu. Siasa za Makamba, zilijikita kwenye Harakati za chini chini, hakua anamkosoa Rais Samia kwenye Vyombo vya habari, in fact...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
GT. Haya tunayoyana sasa ni mwendelezo wa ukandmaizaji uliopitiliza kuanzia awamu ya tano iliyoamini katika chama kimoja. Kwenye demokrasia Kikwete hatuwezi kumlaumu sana japo ufisadi ulimshinda...
11 Reactions
21 Replies
898 Views
Salaam ! Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa. Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon! NRNE 💪 🔥 Karibuni 🙏
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni hapa Iringa mjini Soko limejengwa kwenye kiwanja cha Bakwata na limeteketea lote Tuzidi kuwaombea Vijana wetu Ahsanteni sana
0 Reactions
7 Replies
360 Views
Back
Top Bottom