HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji...
Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa.
Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na...
Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.
Kwa upande wa...
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana...
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa...
Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa
Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo
Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua...
Hili liko Wazi, Kwa Kisesa huwezi itenganisha na MPINA, MPINA ndio Kisesa na Kisesa ndio MPINA.
Kama CCM wanamkata MPINA mwenye Jimbo lake, maana yake hamna mwanaCCM pale anayekubalika, hii...
Wakuu tuwachukulie Watu Hawa
Makamba na Mpina kama ndo Subjects wetu.
Siasa za Makamba, zilijikita kwenye Harakati za chini chini, hakua anamkosoa Rais Samia kwenye Vyombo vya habari, in fact...
GT.
Haya tunayoyana sasa ni mwendelezo wa ukandmaizaji uliopitiliza kuanzia awamu ya tano iliyoamini katika chama kimoja.
Kwenye demokrasia Kikwete hatuwezi kumlaumu sana japo ufisadi ulimshinda...
Salaam !
Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa.
Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon!
NRNE 💪 🔥
Karibuni 🙏
Mh Rais umguse katika nyanja ipi hajatia mkoono wake wa maendeleo,yajayo yanafurahisha
Sisemi kuwa ataweka mradi Fulani ila anaenda kuboresha,ameweka mkono katika Kila nyanja ya maisha watanzania...
Dr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!.
Inawezekana...
Kumbukizi, Wabibi wa kichaga uko moshi vijijini wanasema walimchagua mbunge akarudi kuwaonesha kitambi hakuna kitu amewasaidia
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Julias Mwita ajiweka pembeni na siasa
Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.