Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua...
Je alilenga nini na ili Iweje?
====
Kuhusu Mzozo: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alikuwa anawaelezea mawakili wake kuhusu matukio za kuporwa nyaraka ambayo ni kinyume cha sheria...
NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA kwa ujumla, yaani ni kwamba hii statement sio ya CHAMA bali tangu 2005 watu walitaka mabadiliko ila watu wenye IQ kubwa kutoka...
Gambo umejionea mwenyewe .
Lema yupo na Access ya Canada
Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya .
Ulimfanyia Figisu
Akakosa ubunge
Ukaharibu reputation yake
But now it is ur time to...
MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA.
Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania.
Jumla ya...
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Kwa heshima na taadhima, nakuandikia kwa sauti ya wananchi si kwa ghadhabu, si kwa jazba, bali kwa uchovu wa matumaini na kilio cha mabadiliko...
Nimeamini siasa ni mchezo mchafu huwa hazitegemei akili ya mtu bali mapenzi ya kiongozi wa wakati huo hasa ukitegemea na sheria zetu za uchaguzi zilivyo mbovu huna cha kufanya.
Tusione watu...
Amani iwe nanyi Wana Jukwaa ,
Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake.
Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa...
Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Siasa inahitaji watu tena wale wenye kujenga hoja.
YAnayoendelea ndani ya CCM kipindi hiki cha kupitisha majina ya wanaotarajia kugombe ubunge na udiwani...
Askofu mteule wa Dayosisi ya Mwanga amempongeza Rais Samia kwa nia yake thaniti ya kuhuisha mchakato wa Katiba mpya na amewataka Waumini wote kumuombea Rais ili NIA yake hiyo iweze kutimia na...
Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki!
AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu.
Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za...
Nilikuwa najiuliza
Pamoja na;
Mabango yote nchi nzima
Fedha zote za miradi zimetoka kwa mama
Machawa kila kona ya nchi
Maendeleo yote haya mpaka tumezishinda nchi za Ulaya
Kulikuwa na haja gani...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania...
Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima.
Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na...
Hakuna anayeweza kutoa ushauri huu kwa sababu ambao wangemshauri wanafaidika na mfumo, wamejizima data wala hawaoni Mambo yanaenda ndivyo siyo, hawaoni majirani zetu wanavyopata taabu kurudisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Wahenga walishasema ya kuwa Ukitaka kuruka angani agani kwanza na nyonga . Lissu Aliruka angani bila kuagana na nyonga ,bila kujua ni vipi atatua chini ,ni wapi...
Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi.
Hivi hili rika letu lina nini cha kuhujumu nchi? Kijana ndo kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.