Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA. Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo...
79 Reactions
319 Replies
22K Views
Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Kwanza kufanikiwa hili ni lazima KATIBA MPYA IWEPO. Ndugu zangu, mnajua kunaujinga ulifanyika wa kuunganisha Dola na CCM miaka Ile wakati wa Mzee Nyerere !. Inawezekana Kwa Nyakati zilez...
5 Reactions
9 Replies
636 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hongera Mheshimiwa Karibu Singida Mashariki ukatuwakilishe
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Kiukweli Shujaa alikuwa mkali sana lakini alikuwa mvumilivu sana Niishie hapo 😄 Mlale unono 🙏🇮🇱
5 Reactions
21 Replies
904 Views
Moles kila mahali mnafitiana mnasemana vibaya mkifikiri ni sifa uhuru wa mawazo umbea na uzandiki kwa wengine. Haya sasa mmoja katangaza nia... mwingine kasifia nia ya mwenzake ila mwisho kajitoa...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
GT Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote. Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye...
1 Reactions
4 Replies
575 Views
Askofu Dr Malasusa amesema Wachungaji wametumwa na Mungu wa mbinguni kuleta Amani, utulivu, maelewano na kujenga mahusiano mema ya jamii Dr Malasusa amesema hayo kwenye Ibada ya kumsimika Askofu...
2 Reactions
18 Replies
823 Views
- vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
WANA CCM: KWELI HPP NI TAASISI Majibu kwa Thadei Ole Mushi na wakereketwa wengine. *Wana CCM, sijui wana UVCCM povu linawatoka sana kwa hoja za HPP badala ya kujibu kwa hoja au kwa vitendo...
23 Reactions
62 Replies
7K Views
Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika, nakusifu, nakushukuru, nakuabudu, nakutukuza, nakuheshimu . Nakuomba:- 1. Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, ukaharibu njia zao...
3 Reactions
1 Replies
269 Views
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na...
7 Reactions
1K Replies
162K Views
Tunapenda kuuarifu umma kuwa leo, Jumamosi, tarehe 12 Julai 2025, Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Bi. Brenda Rupia, amezuiwa kuingia nchini Kenya na kwa sasa anashikiliwa na mamlaka...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa. Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE...
1 Reactions
2 Replies
604 Views
Wadau tupeni updates za wabunge waliotoka CDM kwenda CCM hasa wale walionunuliwa kipindi cha Magufuli. 1.David Ernest Silinde-Momba 2.Patrobas Katambi-Shinyanga Mjini 3.Mwita Waitara-Tarime...
0 Reactions
2 Replies
676 Views
Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha. Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms. Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku...
17 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom