Video: Pilau day Kigoma Mjini na Mbunge Baba Levo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Wananchi wa Kigoma wamekula pilau ya sikukuu ya Mwaka Mpya pamoja na Mbunge wao, Clayton Revocatus Chipando Baba Levo, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa kabla ya kuhitimisha mwaka 2025. Katika ahadi hiyo, aliwataka wananchi wa jimbo hilo wasipike pilau siku hiyo, akieleza kuwa yeye mwenyewe angewahudumia.

Pia Soma: Wananchi wa Kigoma Mjini, mwaka mpya msipike pilau kitapikwa chakula cha kwa pamoja
 
Kama nchi bado tupo nyuma sana .
 
kazi ya mbunge wa CCM ndiyo hiyo, halafu akifika DOM ansherehekea mauaji ya watanganyika kwa kula nyama kisha kuingia mjengoni kupiga meza
 
Mbunge anamtimua mtu anayetaka kupiga pepa two hahahahah nchi ina vituko hii.

Anyway umaskini is real na CCM wanakusababishia umaskini then wanakutumia na kukuletea dharau

Serious chakula tena pilau bila nyama after 4hrs unaenda kunya njaa inarud tena hii noma sana.
 
Wananchi wa Kigoma wamekula pilau ya sikukuu ya Mwaka Mpya pamoja na Mbunge wao, Clayton Revocatus Chipando Baba Levo, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa kabla ya kuhitimisha mwaka 2025. Katika ahadi hiyo, aliwataka wananchi wa jimbo hilo wasipike pilau siku hiyo, akieleza kuwa yeye mwenyewe angewahudumia.

Pia Soma: Wananchi wa Kigoma Mjini, mwaka mpya msipike pilau kitapikwa chakula cha kwa pamoja

walishindwa nini hata tu basi kupanga foleni kwa utaratibu ili angalau kila mmoja apate kwa wakati wake, kwa nini fujo na makelele yote hayo? hakuna ustaarabu kabisa yani kama masokwe porini tu ...
 
Back
Top Bottom