Uchaguzi wa Oktoba 2025 umechangia kuibua mgawanyiko mkubwa kati ya viongozi na wananchi, ukuta wa hofu, na kutokuaminiana.
Hiyo ni kutokana na maandamano ya baadhi ya wananchi walioupinga...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika...
Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania.
Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu?
Katoa amri sio ombi.
Mungu bless Tanzania...
Na enzi hizo vyama vya siasa vilipigwa vita sana, kukabiliana na hili wananchi waliunda timu ya mpira kufanya mikutano ya siri hata chama kilichukua rangi zake huko.
Hata hivyo Kina Nyerere...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Khalid Al Barwani lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono...
Chadema ni chama cha Mtei, Mbowe na Waluteri kilichoporwa na wahuni na Wakatoliki kutaka kukitumia kwenda Ikulu lakini baada ya kushindikana watahakikisha kinarejeshwa kwa wenyewe as soon as...
CCM imepagawa na uchaguzi mkuu mwakani.. Bado haijiamini licha ya kufanya maandalizi mengi ya mbinu chafu kushinda
CCM na viongozi wake wote wanatambua hawapendwi kabisa Tanganyika na huko...
Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki
“Effects” au matokeo ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai...
R.I.P. Daniel mbega aliyekuwa mhariri wa Gazeti la Dira ya Mtanzania enzi hizo Mimi nipo chuo kikuu.
Daniel mbega ndiye aliyenikutanisha na Alex Msama Kwa mara ya kwanza ambapo alitaka nimuoji na...
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar: Maadili kama Mkakati wa Kisiasa
Katika historia ya siasa za Zanzibar, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imekuwa ikitangazwa kama suluhisho la migogoro ya...
Lissu started questioning whereabouts of the President on March 7th 2021. As per the Vice President our President Dr. John Magufuli was hospitalized on 6th March 2021.
This clearly shows Lissu...
Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao.
Hatutawaacha wala kukubali upumbavu wowote kwa naman yoyote...
Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako
Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio...
“Maridhiano yawe baina ya serikali na watanzania, Sio CCM na CHADEMA, Kwa sababu mamlaka yapo mikononi mwa watanzania sio vyama vya siasa” Deus Kibamba, Mchambuzi wa Siasa
Haya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama...
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Njombe, Beatrece Malekela, Januari 24, 2026 wakati wa kikao cha Baraza la UWT Wilaya, amesema;
"Wako wapendwa wetu wengi walipoteza Maisha kwenye vurugu zile...
Kwamba muwekezaji Rashid ni mjinga aamke na kuanza kubomoa kama mwehu bila kuogopa mali za watu? Eneo ni mali ya CCM chama cha mafisadi nawezi.
Kwanini alipokuwa anabomoa hao CCM wapo kimya...