kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,717
- 17,221
Chadema ni chama cha Mtei, Mbowe na Waluteri kilichoporwa na wahuni na Wakatoliki kutaka kukitumia kwenda Ikulu lakini baada ya kushindikana watahakikisha kinarejeshwa kwa wenyewe as soon as possible. Hata aliyoyasema Mbowe kwenye msiba yalipangwa kwa ustadi mkubwa. Mwigulu hakwenda pale kwa bahati mbaya tu.
View: https://youtube.com/shorts/1irKyU01v7I?si=cbGlJqmFZJKq77dr
View: https://youtube.com/shorts/1irKyU01v7I?si=cbGlJqmFZJKq77dr