Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani. Duniani kote hakuna serikali...
0 Reactions
30 Replies
931 Views
1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi. 2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais...
6 Reactions
8 Replies
497 Views
Itakumbukwa huko nyuma Marehemu Ali H.Mwinyi Raisi aliingiza nchi OIC kinyume cha Katiba , ikapelekea G55 , na mwishowe Mwl aliandika kitabu , uongozi na hatima ya Tanzania na kupelekea J.M...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika siasa za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina la Fulgence Lwiza limezidi kupewa uzito mkubwa katika Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam. Kwa sasa, hakuna...
0 Reactions
8 Replies
466 Views
Watu wenye akili waliomsikiliza Polepole leo inatosha kujua kila kitu kishapangwa na kete inasogezwa moja moja. Ndugu zangu nampenda Samia lkn akili ndogo ya kuvukia barabara inatosha...
21 Reactions
42 Replies
4K Views
Although nipo kinyume naye kwa wakati uliopo,lakini simuoni kama adui,wala mifumo isimguse tuwe naye tu,ana kitu fulani lakini huu tulionao siyo muda wake,angoje au apishe kwanza,tumuhifadhi, huku...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
South Africa wana rasilimali nyingi lakini si zaidi ya Tanzania. Kwa akili za vizazi vya MALKIA (Waingereza) kama wangeendelea kukaa hapa Tanzania na wakawa na nafasi za kiuongozi nchi ingekuwa...
9 Reactions
21 Replies
762 Views
Mapema leo Juni 28, 2025 aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa katika Mikoa ya Geita, Mara na Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi, amefika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Geita na kuchukua fomu ya...
1 Reactions
3 Replies
582 Views
Wakuu, Tunaishi katika kizazi kinachoshuhudia mapambano makubwa ya haki dhidi ya dhuluma. Katika ardhi hii ya Tanzania, ardhi yenye historia ya amani na upendo, kumechipuka sumu ya uonevu, wizi...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
Wasalaam team. Tangu Mhe Paul Christian Makonda achaguliwe na kuteuliwa kuuongoza Mkoa wa ArushA kila siku ni madudu madudu maduu, Tanzania Ina jumla ya mikoa 32 na Wizara zaidi ya 17 Majimbo...
22 Reactions
96 Replies
6K Views
Na bado! Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Wote ni wachumia tumbo, Wote Ni matapeli, Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo, Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na...
2 Reactions
3 Replies
352 Views
Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake...
25 Reactions
121 Replies
4K Views
Ufuatiliaji wa Chaguzi za Chama Tunakuomba ufuatilie kwa umakini mkubwa mambo yafuatayo katika chaguzi za Chama, hasa wakati wa kupitishwa wajumbe. Ni muhimu kuzingatia majina matatu ya madiwani...
0 Reactions
15 Replies
995 Views
Katika kila jamii yenye uongozi wa kisiasa, kuna wakati ambapo busara za wazee wa chama huzidi kuwa na thamani kuliko mbinu za kisasa za kisiasa zinazokosa maadili. Hili ni wito mahsusi kwa wazee...
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwishoni mwa utawala wa Mkapa kuna hoja ziliibuliwa na watawala walio kuwa kazini na wastaafu nchi hii kuhusu hatima ya kizazi chao kwenye utawala wa nchi hii, Hofu yao ilikuwa ni kwamba huenda...
46 Reactions
186 Replies
17K Views
Mungu ulie tupa taifa zuri Tanzania chini ya mkono wa hayati baba wa Taifa Julius Nyerere tunakuomba tunakuomba maana kama Mwl angekuwa mlafi na tamaa angejimilikisha taifa zima na kuwa mali yake...
12 Reactions
17 Replies
910 Views
Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea. 1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais. Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi...
4 Reactions
9 Replies
646 Views
Wazo la Leo: Wananchi wa Tanzania wanataka mabadiliko; Watanzania wamekuwa wakitaka mabadiliko ya mfumo wao wa utawala kwa muda sasa. Ukiangalia utaona kuwa vijana wanaodai mabadiliko sasa hawana...
35 Reactions
169 Replies
19K Views
Umesahau uliyoyasema huko nyuma?
0 Reactions
10 Replies
729 Views
Back
Top Bottom