Familia ya Bushiri pazi wamshukuru Rais Samia kwa msaada wa kisheria waliopata kurudisha nyumba yao iliyopo Congo mchikichi iliyodhulumiwa kwa takribani miaka 25 iliyopita
Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep...
Kauli ya Daniel Kalinga Mtumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Wakati akifunga mafunzo kwa Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo kutoka mikoa ya Iringa,Ruvuma na Njombe.
Kuweni makini sana na hicho mnachokitamani.
Ukweli siwezi kuwaficha na upo wazi, Hata iweje, Hio nafasi mnayotamani master planner achomoke haiwezi kubaki wazi, Never ! Ni lazima itajazwa muda...
Mwenyekiti wa CCT Ask Shoo ametoa hotuba ambayo sikutegemea.
Kwenye hotuba yake ya kufungua Mkutano mkuu wa CCT Leo jul 3, 2025 mjini Dodoma alinyooka kwenye kauli yake ya kuunga mkono wazi...
Heche amesema Serikali kupitia Mpiga Chapa wake mkuu imesema kanuni za Uchaguzi zitasainiwa wakati wa operation hivyo kama zitakuja zikiwa zimerekenishwa basi Chadema itangia kwenye Uchaguzi mkuu...
Viongozi wa dini, wazee wa mila na asasi za kiraia wametakiwa kushirikiana kwa karibu katika kupambana na vitendo vya rushwa wakati huu taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kusaidia jamii...
WARATIBU wa uchaguzi , wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo wamekutana jijini Arusha kwa siku tatu kwa ajili ya mafunzo ikiwa ni maandalizi ya kuwawezesha...
Wanawake wamefurika katika chuo cha Veta Chato Mkoani Geita, wakichangamkia progaramu iliyotolewa na Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan iliyo na lengo la kukuza ujuzi kwao na...
Huenda jina la Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba likakosekana miongoni mwa watakaogombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata...
Kutokana na kukosekana kwa stendi ya mabasi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James Ameiagiza Halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa baada ya miezi miwili stendi...
Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa...
Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni.
Samia asingepitishwa...
Huyu Jasiri Tundu Lisu akikohoa tu hadi CCM kunayumbayumba kidogo
Askofu Gwajima na Komredi Polepole hawakuweza kumaliza Press zao bila kutaja Reform
Mzee Mwinyi ni baba wa Demokrasia
Tundu...
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/experts-back-ppp-model-for-vision-2050-growth-5124098
===
Kwa tafsiri isiyo sahihi sana, Wataalam wamekubaliana kwamba ikiwa Tanzania inahama...
“Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.