GE2025 Hatutoi Fomu za urais. Hamtaki hameni chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,031
Na bado!

Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!

Na bado
 
Kwahiyo meamua kulinajisi katiba yenu Kwa kiburi na jeuri mkaona liwalo na liwe
 
Na bado!

Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!

Na bado
Unajua maana ya demokrasia wewe?
Nchi ya demokrasia gani hiyo ambayo fomu hazitolewi na wala kuchukuliwa na wengine?
Rudi shule haraka sana
 
Tafiti Mbali mbali nchini Tanzania zinasema asilimia 99 ya wananchi hawamkubali mama ,asilimia Moja iliyobaki ni wale wanufaika wa Moja Kwa moja kutoka kwake ndio wanamkubali 😀😀😀

Unabisha kesho tupite mtaani tuwahoji wananchi wasio machawa ,uone majibu yao😀😀😀
 
Na bado!

Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!

Na bado
Tutahama tutakuacha shauri yako!
 
Sisi CCM damu hatutafumbia macho demokrasia kuyumbishwa,hatutakubali kiongozi kusimama mwenyewe kama pembe la faru
Kwani wewe huogopi,hivi uanachama wako namba ngapi vile?
 
Back
Top Bottom