WANANCHI WA KATA YA MAWENZI WAAMKA:
WAMCHOSWA NA DIWANI ALIYEKAA MADARAKANI ZAIDI YA MIAKA 15 BILA MAFANIKIO
Moshi, Tanzania – Katika kile kinachoonekana kuwa mwamko mpya wa kisiasa miongoni mwa...
Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi...
Tunako katabia kidogo Watanzania, nadhani kitaifa, 'uwoga' wa kutoa mawazo tofauti, na nadhani nayo ni kasoro, katika demokrasia kila mtu lazima asikilizwe hata kama hukubaliani naye, na...
Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini
Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na...
EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k.
Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa...
Wakubwa hadi wababa wazima unakuta wao ni mama, mama hata sisi tuna mama tuacheni kuleta umama kwenye mambo nyeti ya taifa tena ya msingi kweli kweli hizi ni akili za wapi ?
Mbona samia alipokuwa...
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho.
Haya machungu ya kina Polepole...
MSIMAMIZI Msaidizi wa Jimbo la Kivule, Wilaya ya Ilala, Dk. Mussa Ally ameipongeza serikali kwa kuwaruhusu wafungwa kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu kwa mara ya kwanza...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema hatojiunga na chama chake cha kisiasa katika mchakato wa uchaguzi kwa sababu haamini kama mazingira ya sasa...
Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa.
Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji...
Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.
Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi
Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika [TLS] Boniface Mwabukusi ambae alikuwa mstari wa mbele pamoja na makamanda wa CHADEMA katika kuhubiri NRNE tayari amewageuka wenzake na sasa anahamasisha...
Ikumbukwe kuwa 2010 Chadema ndio iliunda Kambi rasmi ya Upinzani bungeni na baadhi ya Wabunge wao walitaka ufanyike Uchaguzi wa KUB
Mbowe na Tundu Lisu wakakataa kwa madai kuwa nafasi hiyo ni ya...
Yeye kama anatibiwa huko India kwa Fedha za Abduli, atulie atibiwe akipona Ashukuru, Akifa, atulie !!.
Katiba ya CCM Ibada ya
100 (5) Unapofika wakati wa uchaguzi, Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.