Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kujidanganya tu kwa wanasiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja kuwaza na kupiga mayowe eti kuna mahali kinaweza kutokea hiki au kile ili Dr.Samia Suluhu Hassan asiwe Rais wa Jamuhuri ya...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
GT Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali. Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Dodoma – Januari 2025 Mwaka 2025 utabaki kwenye historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mwaka ulioshuhudia moja ya mijadala ya ndani ya chama yenye mvuto mkubwa wa kisiasa, ujasiri wa ndani...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania...
19 Reactions
348 Replies
21K Views
Wakuu, Katika dodosa zangu nimekutana na taarifa za huyu mwandishi ambaye anaitumia kalamu yake visivyo na kilichonishtua ni taarifa za kiintelijensia zinazoonyesha mwandishi huyu pamoja na...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakuu, Kuhusu kwanini Watanzania hawaandamani au kuungana pamoja kupinga uonevu unaoendelea nchini nadhani hii video imeelezea vizuri kwanini Watanzania hawafurukuti Huyu mhadhiri ameielezea...
21 Reactions
21 Replies
2K Views
Polepole ameelea kuwa asingeweza kukosoa huku akiwa Balozi "Mimi ni balozi kama nyie hamsemi mimi nitasema, lakini siwezi kusema nikiwa balozi. Mama huyu ananipa mimi kula na familia yangu...
9 Reactions
7 Replies
951 Views
Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake. Mwalimu...
2 Reactions
16 Replies
822 Views
Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Shemsa Mohamed, wametakiwa kutumia busara, uadilifu na uzalendo katika kufanya teuzi za awali...
0 Reactions
6 Replies
566 Views
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya...
2 Reactions
15 Replies
924 Views
Niliandika uzi ukadondoshwa.... Shida ni kuwa niliwasema mbogamboga bila kuwaficha, Najarib niwasilishe nilichoandika kwenye ule uzi ulodondoshwa japo kwa ufupi as siwez tena kuandika uzi mref...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Samia hasubiri kuapishwa, tayari kaanza kutekeleza ilani, mpaka 2030 hii nchi itakuwa ulaya ndogo. Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), inatarajia kupokea shehena ya mabasi...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua...
1 Reactions
34 Replies
937 Views
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita, "Hakuna kama Samia "...
25 Reactions
377 Replies
27K Views
Kikatiba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hupatikana kwa mujibu wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Tanzania. Kwa sasa, Samia Suluhu Hassan alichukua madaraka kwa mujibu wa katiba baada ya nafasi...
4 Reactions
1 Replies
379 Views
The intimidation, of the Executive, the Legislature or the Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing or by any overt act or deed...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
CCM Nzasa Watishia Kukatwa Mgombea Wao Hawatashiriki Uchaguzi Chama cha Mapinduzi (CCM) Nzasa wametoa salamu kali, wakisema kuwa iwapo mgombea wao atakatwa na kwa sababu zozote, hawatashiriki...
2 Reactions
2 Replies
599 Views
Pongezi nyingi kwao. Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati. ============== Umoja wa...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Kinachoshangaza ni hivi wanawake na wanaCCM wanaojumuika jimboni humo wameahidi kwamba hawatashiriki katika kura za maoni zinazopangwa kufanyika tarehe 2 Agosti 2025 – iwapo jina la Luhaga Mpina...
2 Reactions
1 Replies
728 Views
Back
Top Bottom