Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi...
7 Reactions
25 Replies
452 Views
Askofu Dk. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, akizungumza na Sauti Digital Ijumaa Julai 24, 2026 amehoji kuhusu kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi...
3 Reactions
6 Replies
189 Views
Viongozi, kumbukeni kwamba mwaka 2030 bado uko mbali. Kazi yenu kwa sasa ni kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kutekeleza wajibu wenu kwa matokeo yanayoonekana. Mkianza mbwembwe za kisiasa...
0 Reactions
5 Replies
116 Views
RIP upinzani Tanzania. CCM wametumia chini ya 50% tu ya mbinu zake kushinda chaguzi na kuendelea kushika dola. Najua jambo la kwanza mtasema polisi ndio huwapa ushindi CCM. 2015 upinzani Ikulu...
1 Reactions
10 Replies
130 Views
Katika injili ya Luka 14:28-30, twasoma; "Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza...
4 Reactions
12 Replies
205 Views
Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇 Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
2 Reactions
7 Replies
179 Views
Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi? Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu...
17 Reactions
35 Replies
529 Views
Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo! Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali...
114 Reactions
204 Replies
12K Views
1)Chama Cha ukombozi TANU +ASP=CCM Sera- Ukombozi,kupambana na Njaa ,maradhi,ujinga na umasikini ujamaa na kujitegemea. viongozi -Wafia NCHI. Wachache- Nyerere,Karume,Kawawa Aboud...
2 Reactions
7 Replies
116 Views
ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO)...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Katibu Mwenezi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, Pascal Anthony, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kukiingiza chama hicho kwenye mpasuko mkubwa, kukataa maridhiano, na...
2 Reactions
32 Replies
454 Views
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA DKT. NASRA NASSOR Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Yah: Ombi la Kupata Ufafanuzi Kuhusu Maendeleo ya Utekelezaji wa Sheria ya Baraza la Wataalamu wa Kemia...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Sakata la kisheria linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limeendelea kuibua mijadala mipana nchini baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la...
15 Reactions
40 Replies
993 Views
Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu. Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya...
2 Reactions
14 Replies
261 Views
CCM ⬇️ RAIS ⬇️ POLISI ⬇️ TISI ⬇️ MAGEREZA ⬇️ JW ⬇️ BUNGE ⬇️ MAHAKAMA
6 Reactions
20 Replies
278 Views
Mwenyekiti wa Tanzania peace foundation Taifa Godigodi sadick amewataka Watanzania kuwa makini na taasisi zisizo za kiserikali (NG'Os) zinazojivika mwamvuli wa kutetea haki za binadamu kwa kulinda...
0 Reactions
7 Replies
103 Views
My friends ladies and gentlemen, Sasa ni wazi, upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo...
7 Reactions
55 Replies
486 Views
Hotuba ya Hayati Mwalimu Nyerere mwaka 1995 kuelekea uchaguzi Mkuu "Wako viongozi wakishindwa kupata sifa, kupata kura kwa sera, kwa kusimama, 'Wananchi tuchagueni kwa sababu mkishatuchagua...
0 Reactions
2 Replies
61 Views
Chapter 1 The Righteous Shall Live Long: Zambia's Presidential Legacy, Biblical Wisdom, and Tanzania's Democratic Crossroads Abstract The political history of Zambia offers one of Africa's most...
3 Reactions
2 Replies
83 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…