Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,846
- 4,349
Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.
Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho.
Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya Chama na alisaidia kubeba Jeneza likiwa liefunikwa bendera ya Chadema.
Bendera ilitolewa wakati mwili unashushwa kwenye kaburi, kiukweli leo sijaelewa Logic ya kuondoa Bendera ya CHADEMA kwenye Jeneza la Mzee wetu Mtei.😤