Wabunge wanaomaliza muda wao. Walipambania Chama Enzi za DP World. Tuwarudishe Bungeni kuendeleza 4R
OktobaTUNATIKI
Mshana Jr
Lucas Mwashambwa
Mpwayungu Village
Naanza kupata hisia kwamba anaepeleka askari Kila jumapili kuwasaka waumini wa ufufuo na uzima mabarabarani na makanisani ni msando !
Waziri mkuu ,ama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, yule jaji Mamluki aliyetumwa kuzuia shughuli za Chadema, amebakisha masaa machache kujiondoa mwenyewe kwa aibu baada ya Chadema kumkataa.
Taarifa kamili hii hapa
Aliyetengeneza Baiskeli hizo duni kwa ajili ya hongo ya Uchaguzi kapiga hela za Bure na kachakachua Pakubwa sana!
Unaambiwa Baiskeli haiwezi hata kubeba Tikiti la elfu 1 mia 5! hamna baiskeli...
Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆 Tarehe 21 - 27 Julai, 2025
Nakujua vizuri wewe ni msabato safi unayependa Haki pamoja na mapungufu yako kama binadamu.
Sidhani kama mnajua picha mnayojenga Mhimili wa Mahakama hasa kwenye kuaminika na kutenda Haki kwa...
Rafiki yangu mmoja kanitafuta leo asubuhi sana na kuniambia kaka kama unaniheshimu pumzika kuandika na kupost kitu chochote Instagram mpaka uchaguzi mkuu upite, nilipomuuliza sababu akasema...
Sisi CCM hatuna Hofu na Vyama vinavyoshiriki Uchaguzi mkuu
Hofu yetu iko kwa Chadema tu ambao hata Uchaguzi mkuu hawamo
Inashangaza na kufurahisha hapo hapo 🥹😄
Ikiwa anaweza kuvunja utaratibu wa chama chake mchana kweupe na wanachama wake wengi wakakaa kimya, Je, ataweza kuheshimu na kufuata utaratibu wa Nchi?
Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025
https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ...
Baada ya kupitisha mabadiliko ya katiba Rais Samia ameeleza kuwa watajitahidi kuingiza vijana wengi kwenye nafasi hizo za uwakilishi.
"Na sasa mnatupa nguvu ya kuanza hii kazi ya kuchuja kesho...
Hakika wana-Kigoma tunajisikia fahari sana kupata bahati ya Kiongozi Makini na mwenye uzoefu wa kutosha katika medani za usalama na Diplomasia (Kimataifa).
NB: Kigoma hatuna deni.
Lucas...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimepokea wanachama wapya 250 kutoka Jimbo la Kinondoni leo Jumapili, Julai 27, 2025 wakati chama hicho kilipofanya mkutano mkuu wa jimbo hilo.
Sera za...
Kila wakichekecha kipenzi anadondoshwa, wakimrudisha inabidi kipenzi mwingine aanguke, mchujo umekuwa umekuwa vita🤣🤣🤣
Halafu sasa kulivyokuwa hakuna siri, wanaotiwa ngumu wote wanakuwa...
Dowans suffers 3bn/- penalty former Richmonduli
Daily News Reporter
Daily News; Thursday,October 04, 2007 @00:02
TANZANIA Electric Supply Company (Tanesco) has asked 2.43 million US dollars...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo ametamka rasmi kuwa TANESCO itaingia mkataba mpya na Dowans wa kuzalisha umeme.
Amesema mitambo ya Dowans itawashwa muda wowote kuanzia sasa licha ya kesi iliyopo...
Wana JF,
Hapa kuna kipande cha habari zingine, zimepatikana kwa mdau mmoja hapa. Sina uhakika sana na habari hizi. Naomba senior JF members and experts angalieni ukweli wake.
Ndugu JK, Watu...
Heshima sana wanajamvi.
Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini...
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inavuta mapato ya ajabu – zaidi ya USD 3.4 bilioni mwaka 2023 na karibu USD 4 bilioni mwaka 2024 – lakini ground reality ni aibu tupu. Angalia Mlima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.