Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewahakikishia viongozi wa vyama vya siasa kuwa kutakuwa na uwanja sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kuhakikisha kila...
Salaam, Shalom!
Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃
Unadhani...
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.
Je, Chadema wameona kwamba,
CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba...
Mara nyingi wafuasi wa Chadema hutolea mfano wa marekani kama taifa lenye demokrasia iliyotukuka
Halafu Chadema hao hao huwalaumu viongozi wa CCM kuwajaza Familia zao bungeni mfano Mwinyi, JK...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Julai 28, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum -...
1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi).
2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi,
3...
Wananchi tumekubali siasa kuwa biashara ndiyo maana kila mtu anakimbilia kwenye chaguzi. Bila kuvunja hii biashara na kufanya siasa kuwa witu hatutaweza kutoboa kama nchi
Umasikini wetu...
Yeah, wiki iliyopita CHADEMA walikuwa wanakesha humu kushusha mamia ya mathreads ya kumchulia Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Walitoa Kila aina ya Dua mbaya kwa amiri...
Sote ni mashuhuda kwamba tangu uongozi mpya kuchaguliwa, Chadema imekua ikiendeshwa kwa matamko na press conferences ambazo kimsingi nyingi zililenga kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi...
Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake...
Nchi ni moja hakuna ubaguzi wa kanda sasa migao ni ya nini
Sijui vyama vya siasa kugawa mali pande zote!! kwani unguja na Mwanza tofauti yake ni nini?? mbona mikoa mengine haina mali za vyama...
Mbatia ni mfano wa uzalendo. Ukikaa kuhogwa watachukuwa kila kitu ulichonacho!!!. Tanzania ni pagumu kwa watu wazalendo kama Mbatia na Lissu.
Lakini machawa kwa upande mwingine na wala rushwa au...
Dhana ya kanuni za haki ya asili (natural justice) kimsingi imejengwa juu ya misingi mikuu mitatu.
Kwanza ni Nemo Judex in Causa Sua – "Hakuna mtu anayepaswa kuwa jaji katika kesi yake mwenyewe"...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma...
Nawakumbusha CCM kwamba kazi kubwa wanayoipigania makada , kwenda bungeni na kuikimbia mikoa walimokuwa wameteuliwa kuongoza ,kwa ngazi mbalimbali kama u dc na u rc ni kwenda kupiga meza bungeni...
Nimepitia takwimu ya Sensa ya taifa iliyofanyika 2022, katika jedwali la mgawanyo wa idadi watu kiumri katika makundi ya miaka mitano mitano ( Population Distribution by Age Group).
Ukianzia na...
JOKATE. U. MWEGELO✍🏼✍🏼✍🏼
Nawashukuru sana viongozi wenzangu wa vyama vya ukombozi kwa heshima kubwa ya kunichagua kuwawakilisha Vijana wa Vyama vyote vya Ukombozi Kusini Mwa Afrika kuwasilisha...
Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kati yao wanaume 7 na wanawake 4 wakiwemo viongozi wanne wa chama hicho kwa kufanya mkusanyiko...
Wakati vuguvugu la mchujo wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kupamba moto, mgombea ubunge wa Jimbo la Sikonge, amejikuta katika hali ngumu baada ya kufichuliwa kwa tuhuma...
Wakati Tanzania ilipomfukuza Boniface Mwangi mwezi Mei 2025, watu wengi walikimbilia kuikosoa, wakiita hatua hiyo ya kidikteta. Lakini sasa, Serikali ya Kenya kupitia taarifa za raia wema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.