Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikumbukwe kwamba jamaa alivyomtukama mwadhama Pengo eti anavaa pampasi Pengo alikaa kimya akamwachia Mungu apambane naye. Sasa laana imeanza kushika kasi. Huwezi kutukana mpakwa mafuta wa bwana...
4 Reactions
9 Replies
994 Views
Yaani watu akilini mwao wanadhani kwamba viongozi wa CCM wametoka form four wakajiunga na chama. Mule ndani kuna watu wamepita kila nafasi unayoijua wewe mainjinia, watu wa afya, wahasibu, walimu...
3 Reactions
18 Replies
722 Views
Wakuu, Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu, Nusrat Hanje amechukua fomu kuomba uteuzi kwa ajili ya kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hanje...
0 Reactions
4 Replies
601 Views
Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo...
17 Reactions
83 Replies
3K Views
Mapato ya Wachimbaji madogo yameongezeka mara nne (4) Mwaka 2021/22 chini ya Rais Samia. wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo wa madini walichangia 20% tu sawa na TZS 124.6bn...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Tunawachoraaa tuuuu Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!. Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
9 Reactions
74 Replies
5K Views
Salaam! Nabii Tundu lissu amedai ikiwa ushahidi upo na wamedai upo , basi upelekwe Mahakama kuu, Sasa DPP kudai bado hajaamua Nini kifanyike ni kinyume Cha Sheria na katiba. Maslah ya umma...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
JPM (RIP) alimpima akaridhika, nani anasema hatoshi, Alikuwa wapi wakati JPM anampa sifa zote hizi? Anaesema hatoshi hayuko pamoja na JPM, akapimwe, https://youtu.be/dHw20sg_WUk?si=LHPZy4bz-eT0btjW
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana. Ilitarajiwa kuwa Katibu...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen, Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Kwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa...
4 Reactions
69 Replies
3K Views
Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki. Mpaka sasa...
12 Reactions
127 Replies
24K Views
Wananchi wametakiwa kushirikiana na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kulinda miundombinu ya shule iliyojengwa ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi mkoani...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili! Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Mzee Wassira ndiye mwenyekiti wa Kamati ya maadili inayochuja majina ya wagombea wote Sijajua anafeli wapi kututangazia 🐼
4 Reactions
19 Replies
921 Views
Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae. Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini...
41 Reactions
119 Replies
4K Views
Katika picha mjongeo inayoonekana hapo chini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mbalali ambaye sasa ni Mgombea ubunge ndani ya CCM, Jimbo la Kyerwa, Karagwe anaonekana akizuiwa kutumia jukwaa la Ibada ya...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete. Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa. Suala la kumteua mgombea wa kiti...
10 Reactions
66 Replies
3K Views
Back
Top Bottom