Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA TAARIFA KWA UMMA SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA...
9 Reactions
78 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa kuchukua Fomu Ya Urais Mwezi Ujao. Hii ni Baada ya hii...
4 Reactions
79 Replies
4K Views
Inaonekana CCM iko mikononi mwa watu ambao uwezo wao wa kuona mbele ni mwisho wa pua zao. Sijui kama wamewahi kufikiria uwezekano wa historia kujirudia! Hatuombei iwe hivyo, lakini ikitokea (for...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Ikiwa ni kweli wewe 👇 •Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la...
2 Reactions
17 Replies
951 Views
Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki...
1 Reactions
2 Replies
439 Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kukusanya kura za petition milioni 15 ni hatua muhimu kwa Chadema. Katika muktadha wa sera yao ya "No Reform, No Election," hatua hii ina faida nyingi ambazo...
2 Reactions
12 Replies
929 Views
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Viongozi Wenye Maono Duniani kote huwa hawaridhiki kwa kidogo wanachopata. Always hupambana kuhakikisha Ndoto zao zinatimia bila kujali gharama wanazolipa. Hii ni njia ya mafanikio waliyopita...
3 Reactions
11 Replies
345 Views
Jambo lolote ambalo lipo kinyume na katiba ya JMT ni void abnitio Mgombea urais wa Tanzania anatakiwa kuteuliwa na chama chake mara baada ya bunge kuvunjwa. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 38...
4 Reactions
12 Replies
559 Views
CCM ITAKUWEPO MIAKA MINGI IJAYO TAMAA ZA MUDA MFUPI ZISIHARIBU TASWIRA YA CCM kuna hatari CCM ikakosa Heshima na nguvu iliyonayo kwa tamaa za muda mfupi za viongozi waliopewa dhamana wakashindwa...
0 Reactions
8 Replies
420 Views
Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli. Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika...
0 Reactions
2 Replies
476 Views
Hakika astahili tuzo Freeman Mbowe astahili tuzo ya Uongozi bora ulioutukuka, amesimamia vema upinzani kwa njia za amani huku akidumisha umoja wa kitaifa
0 Reactions
7 Replies
469 Views
Mfano Leo KKKT Kisukuru kuna Ibada ya kumstaafisha Mchungaji Mtigile inayoongozwa na Askofu Dr Malasusa Mchungaji anastaafu kabisa na kurudishwa uraiani au anakwenda Vatican kama kanisa Moja...
0 Reactions
32 Replies
1K Views
Ktk somo la itikadi (ideology). Ideology imetokana na neno idea. Na hakuna jambo lolote dunia ambalo chanzo si idea. Je kuna itikadi au ktk itikadi mfano wa chama au Serikali ambao ni...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Nimeona akizikwaa kiislam. Nikasema kumbe kachero wetu alikuwa sheikh. Jina lilinichanganya sana. Naanza kuamini wazee wetu zamani walibadili majina ili wapate fursa ya kwenda shule, wengine...
2 Reactions
1 Replies
407 Views
Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu. Je! Hii ni nguvu ya...
0 Reactions
108 Replies
10K Views
Mbali na kampeni za uchaguzi zinazoelekea ukingoni kutoa mielekeo ya nani anafaa zaidi kukabidhiwa uongozi wa nchi.Ufuatao ni uelewa wangu kuhusiana na wagombea watatu wa nafasi hizo.Hao ni...
0 Reactions
111 Replies
11K Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa, akiwa na msafara wake wanasaidia kusukuma gari lililokwama kwenye matope – tukio lililojiri wakati wa mojawapo ya safari zake nyingi mijini na...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo...
11 Reactions
73 Replies
4K Views
Back
Top Bottom