Mapato ya Wachimbaji madogo yameongezeka mara nne (4) Mwaka 2021/22 chini ya Rais Samia.
wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo wa madini walichangia 20% tu sawa na TZS 124.6bn...
Salaam!
Nabii Tundu lissu amedai ikiwa ushahidi upo na wamedai upo , basi upelekwe Mahakama kuu,
Sasa DPP kudai bado hajaamua Nini kifanyike ni kinyume Cha Sheria na katiba.
Maslah ya umma...
JPM (RIP) alimpima akaridhika, nani anasema hatoshi, Alikuwa wapi wakati JPM anampa sifa zote hizi?
Anaesema hatoshi hayuko pamoja na JPM, akapimwe,
https://youtu.be/dHw20sg_WUk?si=LHPZy4bz-eT0btjW
Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana.
Ilitarajiwa kuwa Katibu...
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,
Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm...
Kwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee...
Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa...
Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki.
Mpaka sasa...
Wananchi wametakiwa kushirikiana na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kulinda miundombinu ya shule iliyojengwa ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi mkoani...
Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye...
Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae.
Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini...
Katika picha mjongeo inayoonekana hapo chini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mbalali ambaye sasa ni Mgombea ubunge ndani ya CCM, Jimbo la Kyerwa, Karagwe anaonekana akizuiwa kutumia jukwaa la Ibada ya...
Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa.
Suala la kumteua mgombea wa kiti...
Hiki chama kijanja Sana yaani kimetuloga aisee sio kawaida jamani CCM huwa wanashinda kihalali Wana mtaji wa watu imagine me sikipigii kura ila kimoyomoyo kura yangu wanayo.Na NI ndoto ya kila mtu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya ziara katika Makao Makuu ya Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa...
Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo.
Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.