Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zimeimarika sana na kua za kistaarabu. Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press...
8 Reactions
78 Replies
2K Views
Jambo la Kushangaza, Hii familia nao wanafurahia tuu, hivi hata Ridhiwani alishindwa kumshauri Mzee Kikwete, Mzee chomekea majina walau Manne, ila tumalizane na Wajumbe ?. Kwamba ukiwa...
17 Reactions
40 Replies
2K Views
Pamoja na hali mbaya tunayopitia kisiasa, Ntaendelea kusema kwamba heri nusu shari kuliko shari kamili. Imagine Remote ingeshikwa na Msukuma, Mnyakyusa, Mchaga au Mhaya, Pangetosha ? Imagine...
1 Reactions
5 Replies
470 Views
Walidhani kwa kumfungia Tundu Lissu ndani mambo ndio yatakuwa mepesi, kumbe sasa ukuta mzima umepasuka ni afadhali yangekuwa ya mlango tu. Jinsi siku zinavyokwenda ndio CCM inavyozidi kupoteza...
2 Reactions
6 Replies
604 Views
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni. Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama ulipata kazi na hukufanya kazi uliyotakiwa kufanya waliokuajiri wanakuja na msimamo wao. Mungu Ibariki Tanzania ---- Bumbuli Wamtaka January Makamba Ajiuzulu Ubunge, Wadai Hana Tija kwa...
1 Reactions
45 Replies
2K Views
Yani watoto pendwa wa mama wote wana wapinzani. Iweje familia ya mzee Kikwete isiwe na upinzani. Kwamba huko Mchinga na Chalinze hakuna wana CCM waliotia nia kabisa kuyahitaji hayo majimbo?
3 Reactions
24 Replies
968 Views
Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama...
2 Reactions
5 Replies
357 Views
MAMBO 20 USIYOYAJUA JUU YA MAGUFULI 1. Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 kwa mwaka jana katika nchi mbali mbali dunian 2. Magufuli Ana uwezo wa kukariri namba 22, kwa wakati mmoja, craming...
8 Reactions
34 Replies
8K Views
Gambo bila Shaka umeona the power of Karma. Kila ubaya huwa unalipwa , Mwenzako familia yake ipo ulaya imekaa na kutulia.
1 Reactions
4 Replies
448 Views
TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Ile battle ya Makonda na Gambo imeisha rasmi, Makonda kapita kwenye mchujo
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Joseph Gwajima Luhanga Mpina Hersi Said Arafat Haji Byabato Mpango Majaliwa Polepole Lissu Heche Butiku Warioba Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why? Huyu mama...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Naona mshikamano ni mkubwa sana kwa wanaChadema kwa sasa. pamoja na mizengwe ya utawala wa CCM Mimi mwenyewe nashangaa huu mshikamano unatoka wapi. Kesi za kubambikiwa na kuzuiwa kufanya...
19 Reactions
37 Replies
1K Views
Hii itakuwa wiki ya moto sana kwa wanasiasa na siasa kwa ujumla. Kuanzia chama tawala mpaka upinzani. Kuna matukio ya kisiasa yatatokea ndani ya wiki hiyo kuanzia kesho jumatatu tarehe...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Muinja Maingu, amesema ameridhishwa na mchakato wa uteuzi uliofanywa na chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, akibainisha kuwa...
1 Reactions
4 Replies
476 Views
Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI...
25 Reactions
139 Replies
4K Views
Heshima sana wanajamvi. Kipindi cha nyuma enzi za TANU na CCM ya wakati uleeeeeee iliwepo nafasi ya wagombea ndani ya chama wanapofanyiwa mizengwe walikuwa nafasi ya kukataa rufaa kwa wananchi...
1 Reactions
2 Replies
367 Views
Back
Top Bottom