Nimestushwa na Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Je ni kufilisika ki Maono kwa CCM?

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
3,867
8,573
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI......

Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear path yake yote imeanzia kwenye kuajiriwa from his age of 27 to the age of 60 or so....na wengine hadi kwenye miaka 80 wanapambana na ajira........ what a shame!

Nilitegemea top management ya nchi mkae chini na muje na evidence based decision on how to handle the matter na sio kutanua goli.

Kama kujiajiri ni rahisi mbona nyie mpo kwenye ajira kwenye 80 ?

Kwa mfano, huku majuu ajira sio big issue....haina maana kuwa watu ni SMART, ni serikali imeweka mazingira rafiki...,Nesi, Daktari , maabara na Famasia waliomaliza degree yao wanaweza kuandaa proposal yao na Serikali ikatoa 300M na watu wakafungua Hospital with minimum interest .

Engineers, Architect and all that, wanafungua kampuni they get gvt loan fund with minimal interest ... hizo kampuni za construction ndio hao wanajenga barabara, buildings na gvt inawapa tenders..... hao watu pia wanaajiri na wengine .... that is why majuu kuajiriwa na gvt sio kitu muhimu.

Kampuni ya Straberg iliyojenga zile mwendokasi za mwanzo ilianzishwa na degree holder 2 waliopata gvt loan. Hizi ndio Strategies viongozi mkae chini mje na solutions , vijana sio wajinga.....ni nyie hamna weledi na maono ya nini cha kufanya…..resources mnazouza zinamnufaisha MTZ?

Barabara za TZ unakutana na wachina, nyie mmeshindwa kuandaa vijana wenu kufanya hizo kazi ?

Kujenga barabara nazo we need Mchina...Karine ya 21 . what a shame ?hivyo vyuo vinakazi gani ?

Mchina anauza maji hadi KKO, yaani mtu katoka chini kuja kuuza maji TZ halafu mnajiita viongozi

mtu kasomeshwa na bodi ya mikopo kamaliza shule halafu unamwambia kajiajiri..... are we mad ? At the same token mtu wa 80 yupo kwa ajira ! Experience my foot ..... nini ambacho anakifanya kijana wa 35 hawezi kukifanya....?

Acheni hizo mambo na kulewa madaraka ....lets be real ....kujiajiri kuna hitaji START UP, nyie kama viongozi kaeni chini mje na mikakati ya kuwasaidia vijana na sio kuwaambia waende Veta , huo ni UCHAWI maana hata Veta Itajaa.

Kuna vile vimikopo vya 3M 🤣TAMISEMI.....huwa hata inawafikia walengwa... ? si wanakula wao

Dr Megalodon Mushi, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
 
Naona mmemuamulia waziri mkuu

Lakini vip wale waliosema vijana mkalime na kujiajiri bila kuzingatia mitaji na fani husika.😀😀 Mfan umesomea HR ukajiajiri au uingie shamba kupanga n kuchagua
 
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI......

Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear path yake yote imeanzia kwenye kuajiriwa from his age of 27 to the age of 60 or so....na wengine hadi kwenye miaka 80 wanapambana na ajira........ what a shame!

Nilitegemea top management ya nchi mkae chini na muje na evidence based decision on how to handle the matter na sio kutanua goli.

Kama kujiajiri ni rahisi mbona nyie mpo kwenye ajira kwenye 80 ?

Kwa mfano, huku majuu ajira sio big issue....haina maana kuwa watu ni SMART, ni serikali imeweka mazingira rafiki...,Nesi, Daktari , maabara na Famasia waliomaliza degree yao wanaweza kuandaa proposal yao na Serikali ikatoa 300M na watu wakafungua Hospital with minimum interest .

Engineers, Architect and all that, wanafungua kampuni they get gvt loan fund with minimal interest ... hizo kampuni za construction ndio hao wanajenga barabara, buildings na gvt inawapa tenders..... hao watu pia wanaajiri na wengine .... that is why majuu kuajiriwa na gvt sio kitu muhimu.

Kampuni ya Straberg iliyojenga zile mwendokasi za mwanzo ilianzishwa na degree holder 2 waliopata gvt loan. Hizi ndio Strategies viongozi mkae chini mje na solutions , vijana sio wajinga.....ni nyie hamna weledi na maono ya nini cha kufanya…..resources mnazouza zinamnufaisha MTZ?

Barabara za TZ unakutana na wachina, nyie mmeshindwa kuandaa vijana wenu kufanya hizo kazi ?

Kujenga barabara nazo we need Mchina...Karine ya 21 . what a shame ?hivyo vyuo vinakazi gani ?

Mchina anauza maji hadi KKO, yaani mtu katoka chini kuja kuuza maji TZ halafu mnajiita viongozi

mtu kasomeshwa na bodi ya mikopo kamaliza shule halafu unamwambia kajiajiri..... are we mad ? At the same token mtu wa 80 yupo kwa ajira ! Experience my foot ..... nini ambacho anakifanya kijana wa 35 hawezi kukifanya....?

Acheni hizo mambo na kulewa madaraka ....lets be real ....kujiajiri kuna hitaji START UP, nyie kama viongozi kaeni chini mje na mikakati ya kuwasaidia vijana na sio kuwaambia waende Veta , huo ni UCHAWI maana hata Veta Itajaa.

Kuna vile vimikopo vya 3M 🤣TAMISEMI.....huwa hata inawafikia walengwa... ? si wanakula kina Mchengerwa na kuongeza wake.....

Dr Megalodon Mushi, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Kama haya ni mawazo ya PhD candidate basi taifa lina kazi kubwa sana ya kutoka hapa tulipo.
Majaliwa yupo sahihi sana vijana kama wewe mnaongeza makaratasi mnayaita vyeti mnataka yatumike kuwaletea pesa nendeni veta au tafuteni namna ya kuwa na skills ulimwengu huu haulipwi sababu ya hayo makaratasi yako utalipwa kwa ujuzi ulionao. Achana na hiyo PhD nenda veta kwanza.
Mchina anakuja kufungua biashara ya kuosha kucha wewe mpuuzi unakusanya makaratasi unataka serikali ikutafutie ajira
 
nadhani hizo ni hulka na tabia za wavivu tu kuchukizwa na kughadhabishwa, hasa baada ya kuelezwa ukweli mtupu tena wenye manufaa binafsi ambayo ni wazi yanaweza kuwaondoa graduates wengi katika unyonge wa kiuchumi walionao,
na kuondokana na uzururaji usio koma wa kusaka ajira mijini ambazo pia ni chache ukilinganisha na wingi wao.

Ni wazi,
watakaozingatia mawaidha hayo mujarabu sana ya waziri mkuu, watanufaika kibinafsi na familia zao huku wavivu na washupaza shingo kama PhD holder wa mchongo na mtoa hoja wakikodoa macho na kushangaa graduates walioenda veta wakitusua maisha.

Tz kua maskini au tajiri ni uamuzi binafsi wa mtu 🐒
 
nadhani hizo ni hulka na tabia za wavivu tu kuchukizwa hasa baada ya kuelezwa ukweli mtupu tena wenye manufaa binafsi ambayo ni wazi yanaweza kuwaondoa graduates wengi katika unyonge wa kiuchumi walionao,
na kuondokana na uzururaji usio koma wa kusaka ajira mijini ambazo pia ni chache ukilinganisha na wingi wao.

Ni wazi,
watakaozingatia mawaidha hayo mujarabu sana ya waziri mkuu, watanufaika kibinafsi na familia zao huku wavivu na washupaza shingo kama PhD holder wa mchongo na mtoa hoja wakikodoa macho na kushangaa graduates walioenda veta wakitusua maisha.

Tz kua maskini au tajiri ni uamuzi binafsi wa mtu 🐒
Umejiajiri au upo kwenye ajira ?
 
Kama haya ni mawazo ya PhD candidate basi taifa lina kazi kubwa sana ya kutoka hapa tulipo.
Majaliwa yupo sahihi sana vijana kama wewe mnaongeza makaratasi mnayaita vyeti mnataka yatumike kuwaletea pesa nendeni veta au tafuteni namna ya kuwa na skills ulimwengu huu haulipwi sababu ya hayo makaratasi yako utalipwa kwa ujuzi ulionao. Achana na hiyo PhD nenda veta kwanza.
Mchina anakuja kufungua biashara ya kuosha kucha wewe mpuuzi unakusanya makaratasi unataka serikali ikutafutie ajira
Umejiajiri au umekalia Ofisi ya Umma?
 
Kauli ya PM ni yake binafsi kama Majaliwa sio kauli rasmi ya serikali. Mimi pia siungi mkono kauli yake.
🤣 endelea kusema anaupiga mwingi

Give them sweets take them Gold

Utakuja kuelewa wakati ajira yako ya uchawa imeisha na una watoto wanadegree upo nao ndani

Uliowategemea wakupe connection hawapo Tena

Haya mamasamia mitano tena
 
Kama haya ni mawazo ya PhD candidate basi taifa lina kazi kubwa sana ya kutoka hapa tulipo.
Majaliwa yupo sahihi sana vijana kama wewe mnaongeza makaratasi mnayaita vyeti mnataka yatumike kuwaletea pesa nendeni veta au tafuteni namna ya kuwa na skills ulimwengu huu haulipwi sababu ya hayo makaratasi yako utalipwa kwa ujuzi ulionao. Achana na hiyo PhD nenda veta kwanza.
Daktari amemaliza miaka 5, anaenda VETA kupata ujuzi gani !

JokaKuu
 
Back
Top Bottom