Waliomfungia mtu mlango asitoke sasa ukuta unavunjwa

Waliomfungia mtu mlango asitoke sasa ukuta unavunjwa

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,920
Reaction score
24,756
Walidhani kwa kumfungia Tundu Lissu ndani mambo ndio yatakuwa mepesi, kumbe sasa ukuta mzima umepasuka ni afadhali yangekuwa ya mlango tu.

Jinsi siku zinavyokwenda ndio CCM inavyozidi kupoteza control ya mambo mwishoni wataishia kutoa amri ya piga vunja miguu wakatibiwe hospitali, hapo ndio mambo yao yatakuwa mabaya kuliko ya Ruto.

Polepole ni kama ameletwa kusimama mahali pa Lissu na kazi inaendelea vizuri. Asipotoka kwingineko atakoka katika boma lako mwenyewe mambo yanaweza kuwa magumu zaidi.
 
Hakuna vita nzuri kama vita ya ndani kwa ndani welldone polepole tunapo na wewe
 
Hahahahahaaaaa!
Nyumbu wa lissu bwana na vidua uchwara vyao🤣🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom