Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yule kada wa ccm hapa arusha musa mkangaa ambaye aliungana na wenzie kupinga ubunge wa Lema sasa anajiandaa tena kwenda mahakamani kupinga udiwani wa bwana prosper msofe ambaye alishinda juzi...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mbuge wa Viti Maalum (CCM), Sarah Msafiri, amekiri kwenda kuonana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanzania), kufuatilia mkataba wa Kampuni ya M/S Sharrifs Services & General...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Nimepigiwa simu na Mpwa wangu mwenye ambae ana Duka kariakoo, ananiambia siku hizi hawafungui biashara siku ya ijumaa kwa kuwa si siku salama tena kutokana na hatari za kuwepo na maandamano ya...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa kuvunja bodi ya wafanyabiashara wanaoagiza mafuta ni hatua madhubuti ya kupambana na ukosefu wa nishati hii ambao umekua ukitokea nchini mara kwa mara.
1 Reactions
26 Replies
2K Views
akiongea na mwandishi wa habari chanel ten amewaomba waislam kote nchini kusitisha maandamano yao hapo kesho na cuf imechukua jukumu kulifuatilia suala hilo ili wapate dhamana. source. taarifa ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani, tunazungumza utumbo mno, toka January hadi disemba. Ushindi wa ccm unatoka na na Mtaji wa majina yaliyo kkwenye daftari la wapiga kura. Leo Kenya wameleta BMI kits 18000' ambazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza, katibu mkuu wa CCM BW. Wilson Mukama akana matumizi ya rushwa katika kipindi cha This Week In Perspective, kinachorushwa na TBC1 kila ijumaa saa tatu usiku...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kweli inchi hii haina usawa, wilaya hii yenye umaarufu wa kilimo na ufugaji hamna umeme na maji, sielewi viogozi wanafanya nini. nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba Mwalimu Nyerere ni kiongozi aliyekuwa amebeba matumaini makubwa sana ya watanzania kabla na baada ya kupata uhuru wa Tanganyika na hatimaye Tanzania. Aliweza...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Habari hii imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la Jamhuri Siku chache baada ya kuibuka mjadala wa kuwapo watoto wengi wa vigogo ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hali kama hiyo imejitokeza...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Mhe. Sugu anaonekana kumchafua mama Spika kwa kutoa maelezo ambayo ni tofauti na hoja iliyopo mezani (maswali) anaonekana kama "amepiga kitu kidogo!!"
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF, Nimefuatilia utendaji wa baadhi ya mawaziri wa sasa nikagundua kuwa wameweza kufanya maamzi magumu kama aliyokuwa nayo Lowassa. Lowassa anaamini katika maamzi magumu. Bahati mbaya kwake...
6 Reactions
68 Replies
8K Views
Katika kipindi cha ITV cha malumbano ya hoja kiongozi kutoka CUF makao makuu ambaye pia amejitambulisha kuwa ni muislamu amedai kuwa serikali na CCM wananjua kiini cha mgogoro wa waislamu na...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimejaribu kwa umakini kuisoma sera ya Ujamaa na Kujitegemea nimefikia hitimimisho moja kuu kwamba kama hatutarudi na kukaa chini kama taifa kuja na mikakati ya kuboresha sera hii kamwe hatutakuja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanini wacristo na serikali wanakataa hoja ya waisalam kuweka wawakilishi wa dini zote mbili ili kuondoa kupoteza gharama au hawatki haki wanataka takwim za uwonago nakwanini watoe takwim za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015 natumaini Chama cha Demokrasia na Maendeleo aka CDM kina muda mchache sana wa kufanya programe zaje kwa uangalifu hasa mwaka 2013. Kwa nini???? Ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WanaJF, Kiongozi wa Bavicha Taifa John Heche ni kati ya wanamapinduzi waliojitolea na kufanya kazi kubwa sana ya kupigiwa mfano. Kila tunaposoma vyombo vya habari John Heche anaripotiwa yuko...
9 Reactions
311 Replies
22K Views
Maendeleo ya Taifa letu na wananchi yanategemea kwa kiasi kikubwa uhodari wa wakuu wa wilaya na mikoa katika kuibua, kuratibu na kuongoza utekelezaji wa vipaumbele vya wananchi wao. Ili kumudu...
1 Reactions
35 Replies
14K Views
Inasemekana kwamba Mafuta yamegundulika ndani ya Tanzania. Kama hii ni kweli, basi naomba nianze kwa kusema kwamba Mungu ashukuriwe maana ame tubariki kuliko tunavyostahili, na ame tubaliki...
9 Reactions
44 Replies
6K Views
Once again the government has hesitated to reveal the action planned against corrupt Tanzanians who have secretly stashed away a whopping billions of shillings in secret accounts abroad...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…