Mhe. Sugu vipi bhana??

Mhe. Sugu vipi bhana??

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Mhe. Sugu anaonekana kumchafua mama Spika kwa kutoa maelezo ambayo ni tofauti na hoja iliyopo mezani (maswali) anaonekana kama "amepiga kitu kidogo!!"
 
sugu huwa simuamini sana,anaweza kuchafua hali ya hewa mjengoni anytime!
 
Mhe. Sugu anaonekana kumchafua mama Spika kwa kutoa maelezo ambayo ni tofauti na hoja iliyopo mezani (maswali) anaonekana kama "amepiga kitu kidogo!!"

husomeki mkuu
 
Mhe. Sugu anaonekana kumchafua mama Spika kwa kutoa maelezo ambayo ni tofauti na hoja iliyopo mezani (maswali) anaonekana kama "amepiga kitu kidogo!!".....

Clarify basi au ndio ya ngoshwe tumuachie ngoshwe?
 
Anamchafuaje? Anamtukana bi kiroboto? Ebu funguka mkuu!
 
effective communication must be clear,concise,complete and correct.
sasa tuambie kafanya nini?
 
Ilikua ni kipindi cha maswali wizara ya ujenzi sasa kupewa fursa ya kuuliza swali la nyongeza akasema kikwete asilalamike kuhusu rushwa ndani ya CCM achukue hatua ndo makinda akamkalisha kwanza
 
Mhe. Sugu anaonekana kumchafua mama Spika kwa kutoa maelezo ambayo ni tofauti na hoja iliyopo mezani (maswali) anaonekana kama "amepiga kitu kidogo!!"

Mkuu suipoangalia utakua kama sugu mwenyewe, maana na wewe husomeki hapa jamvini
 
Ilikua ni kipindi cha maswali wizara ya ujenzi sasa kupewa fursa ya kuuliza swali la nyongeza akasema kikwete asilalamike kuhusu rushwa ndani ya CCM achukue hatua ndo makinda akamkalisha kwanza

pengine alianzia maelezo,kabla ya kuja malizia maswali ya rushwa ktk wizara ya ujenzi, ambayo kila mtu anajua.Makinda angemwambia afupishe swali na si kumkalisha.
 
Dah!!! hakyanani wewe na mimi tuna busara pengine hata akili tunamzidi huyu bi kiroboto. Tatizo la bi kiroboto amekaa kikuvizia vizia tuu wapi CDM tunajikwaa halafu yeye anaminya hapohapo. Alitakiwa ampe muda maana hata hizo dak tano zilikuwa hazijaisha.
 
Sugu mzee wa mistari siamini kuwa angeshindwa changia hoja dhaifu hivyo..labda ingekuwa naongelea DNA na au nuclear physics
 
Back
Top Bottom