Watakaomzuia Lowassa kugombea urais kupitia CCM hawa hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watakaomzuia Lowassa kugombea urais kupitia CCM hawa hapa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maseto, Oct 31, 2012.

 1. M

  Maseto JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wana JF,

  Nimefuatilia utendaji wa baadhi ya mawaziri wa sasa nikagundua kuwa wameweza kufanya maamzi magumu kama aliyokuwa nayo Lowassa. Lowassa anaamini katika maamzi magumu. Bahati mbaya kwake maamzi magumu ambayo amewahi kuyafanya yaliambatana na ufisadi na ubinafsi; wakati akiwa waziri mkuu alijitahidi kumbana magufuli ili asimfunike. Pia alijitahidi kumfunika rais JK. Lengo likiwa ni moja tu-urais 2015.

  Sasa tunao mawaziri kama Magufuli, Mwakyembe, Muhongo, Kagasheki, Tibaijuka (?), wanafanya maamzi magumu tena katika mazingira magumu sana na wanafanikisha. Tofauti na lowasa ambaye alifanya maamzi magumu yakafanikiwa pakiwa na fedha za kutosha na akiungwa mkono vya kutosha na rais, mawaziri wa sasa wanafanya hivyo katika mazingira magumu sana na wanafanikisha; tofauti ya pili ni kwamba lowasa aliambatanisha maamzi hayo na maslahi yake binafsi.

  Bahati mbaya kwa Lowasa, kukubalika kwake ni ndani ya chama cha mapinduzi tu. Hii ni kwa sababu huku vijijini ukitaja jina la Lowassa, mtu analii-equate na ufisadi. Tegemeo lake limebaki kwa wanaccm ambao nao hawashawishiki bila pesa lakini mawaziri hawa hawana kashfa za ufisadi. Hii sasa itawafanya waccm waanze kumsahau Lowassa kwa sababu mawaziri hawa nao wanafanya maamzi magumu kama yeye alivyofanya. Ikumbukwe kwamba Lowassa alipata umaarufu kwa kile kilichodaiwa kuwa ni mtu wa maamzi magumu.

  Kwa hiyo, tunaweza kusema kuwa maadui wakuu wa Lowassa katika juhudi zake za kuwania urais kupitia CCM ni hawa mawaziri.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,233
  Trophy Points: 280
  Tumekusikia!, wengine tulisha washughulikia, na waliobaki, tutawashughulikia!, kufikia 2015, njia itakuwa nyeupe!.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pasco ni kweli wapo baadhi ya mawaziri wanajitahidi sana bahati mbaya Mkuu Maseto kamsahau Samweli Sitta na Benard Membe.Mpaka sasa sijaona wa kumfikia Membe tatizo la mpaka baina ya Tanzania na Malawi Kikwete kamwachia alishughulikie ili aweze kukuza mtaji wake vyema.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Kweli wewe Pasco ni avid and fanatic fan of EL. Vipi una passport ya Monduli State?
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kama mlivyomshughulikia Mwakyembe!??, yako wapi
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Mmewashughulikia kwa namna ipi?
  Safi sana endeleeni kuwashughulikia ili njia iwe nyeupe tupambane vema,
  Nntafurahi sana magamba wakimsimamasha Ngoyai, kwetu njia itakuwa nyeupeeeee...:A S 41:
   
 7. M

  Maseto JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mzee sita ni mnafiki mno.huyo hafai kwa kiwango kikubwa.Membe hana tatizo kubwa isipokuwa ni mvivu.pia anaposema anasubiri Mungu amuonyeshe maana yake yeye mwenyewe hajiamini kama anaweza.hata akija kuchemka akiwa rais ( Mungu apishe mbali) atasingizia Mungu kuwa hajamuönyesha cha kufanya
   
 8. i

  iseesa JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NAONA una DONGE tu na Lowasa. Kati ya wote uliotaja hakuna hata mmoja anayemkaribia EL. Magufuli mtu wa (Makidai na Misifa) lakini anafaa kazi za kutumwa tumwa kama waziri mkuu, Tibaijuka (Muoga), Mkwakyembe (Mnafiki), Kagasheki (Mnafiki na Majidai), labda Muhongo kwa mbali.
   
 9. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  '' kama issue ni maamuzi magumu ndiyo kigezo cha uongozi basi hata Idd Amini alifanya maamuzi magumu kuvamia Tanzania kwa hiyo naye anastahili sifa ya uongozi bora
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lowassa ndio presidential material pekee. Hao wengine ni makanjanja tu.
   
 11. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Membe anafanya kazi kwa weledi na anatumia taaluma yake.Huko CCM hawezi kupita na hata akipita yupo in a wrong platform.Hata hivyo Membe ana uwezo wa kuwa kiongozi bora wa upinzani kuliko wengine huko CCM baada ya uchaguzi mkuu ujao.
   
 12. RICARDO KAKA

  RICARDO KAKA JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 867
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  naona 2015 inachelewa!
   
 13. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ushabiki utakishwa siku nae atakaposema tanzania ni muungano wa visiwa viwili vya pemba na malawi!
   
 14. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  ,
  membe atafaa sana lakini ni lazima ahamie Chadema kama kweli anataka uraisi,tajilaga nneyo anjomba wa kwirondo!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,479
  Likes Received: 81,768
  Trophy Points: 280
  @Pasco mganga njaa na kinara wa rushwa ndani ya magamba fisadi Lowassa!!! we mtu sijui kama una uwezo wa kufikiri kuhusu rushwa inavyowatesa Watanzania na jinsi ambavyo inakwamisha nchi kupata maendeleo ya uhakika miaka nenda miaka rudi.

   
 16. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Humu kwenye huu msafara!!!! duh.

  Ukisoma vizuri PASCO anamkashifu Lowassa sio kumsifia. Na maandiko yake yote kuhusu ENL ni against ENL.

  Sema kwenye huu msafara wa JF tumebebana wengi.
   
 17. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mkuu BAK,

  Hata wewe bado hujui kusoma?

  Soma post yangu hapo juu. Pasco hajawahi kumsifia Lowassa! mnaniangusha.
   
 18. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Huyo EL hatakaa aupate uraisi wa nchi hii wacha watu wale pesa zake za wizi,mtu hawezi kuacha wizi uzeeni hayo mapesa machafu antoa CCM atayarudisha vipi atakufa kihoro kwa presha siku moja ..just wait and see
   
 19. e

  eltontz JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 823
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Mwakyembe ni poa; huyu ni kama Kagame; anathubutu kufanya na anaenda na muda.
  Mwakyembe 2015!! EL ataongoza kwa kulipiza visasi kama swaiba yake anayengoza sasa hivi; EL atawatesa sana akina Six na wote waliomchongea Richmond---ile kamati nzima itaama nchi au watakuwa wajasiliamali kama atakuwa Rais.
   
 20. m

  mswald Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkubwa uko sahihi kutambua utumishi wa kipekee wa waheshimiwa hawa.Ila hutakua unawatendea haki wanajamvi kwa kumlinganisha Lowasa na yeyote ktk hawa,ED mwache tu abaki kama yeye. Madai kwamba anaungwa mkono na wan ccm pekee ndio mshangao cdm watakaoupata 2015. Mwacheni ED apange safu yake ya kuingia magogoni 2015 NA HILO LINAKAMILIKA DODOMA LEO.
   
Loading...