Nini kinaendelea katika uchaguzi wa wazazi (CCM) Dodoma?

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Wadau tupeane update za kinachoendelea kwenye uchaguzi wa jumuiya ya wazazi kwa mwenye taarifa.
 
I hope hawa wazee hawajapigana na kutukanana kama akina mama na watoto wao!
 
Wadau tupeane update za kinachoendelea kwenye uchaguzi wa jumuiya ya wazazi kwa mwenye taarifa.

uchaguzi wa wazazi CCm dodoma, hali ni shwali kabisa, na bila hata kupata matokeo, Mh. Alhaj Bulembo Majura ndio Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi.
 
ha ha kwa nn wawe wa lowasa tu ndo washinde?

Taarifa ya hivi punde kutoka TBC inasemekana mh Zungu, mama kasenga na wengine kadhaa wamekamatwa wakitoa rushwa kwa wajumbe !!!!!
source taarifa ya habari ya saa mbili jioni hii ya TBC.
 
Mnada wa wazee sasa

Kwa taarifa za ndani kabisa, ni kwamba rushwa zimekuwa ni za kistaarabu sana, hakuna vurugu wala gombania goli, wazee wamesema wao hawana nguvu za kushikana mashati, wametoa namba zao za simu kwa wagombea ziwekwe moja kwa moja M/Tigo pesa, mwenye sms yenye 0000 nyingi kura zooote kwake
 
le mutuz amepewa kazi ya heshima ya mwakilishi wa wazazi katika bongo movie :glasses-nerdy:
 
hao ni wazazi wa kina nani ambao hwajawafanania? Nafikiri hii jumuiya ingebadli jina na kuitwa jumuiya ya watu wazima waliopo ccm na si jumuiya ya wazazi tanzania. neno wazazi lina denotation na connotation ambazo ni lazima ziwe na utakatifu fulani.
 
Hakuna uchaguzi huko ni kwenda kugawana fedha zetu ili waendelee kututawala!

Ahsubuhi nilikuwa nasikiliza radio fulani, wakasema kumbe kuna rates za "mlungula" kule Dodoma. wengine wanapewa 40,000/=, wengine 100,000/=, na wanafuatwa Guest house, ndiko wanakopewa "kifuta hasira" a.k.a. "kiondoa makundi". Wale wa elfu 40 wanahoji: If we have same vote, why such a difference ? Japo naamini hawa ni old enough, hawatatukanana wala kuchapana makofi, kwenye mabonde kutajazwa na milima itashushwa kwa kutumia "sabuni ya roho" (hata ikibidi kuongeza dau).
 
hao ni wazazi wa kina nani ambao hwajawafanania? Nafikiri hii jumuiya ingebadli jina na kuitwa jumuiya ya watu wazima waliopo ccm na si jumuiya ya wazazi tanzania. neno wazazi lina denotation na connotation ambazo ni lazima ziwe na utakatifu fulani.

Le Mutuz naye ni mzazi mmoja wapo anayetafuta uwakilishi pale leo, wakati anajiona bado kijana wa kugombaniwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom