Nape upo wapi? Heche kakufumbua macho...

Advicer

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
533
272
CCM WANAENDA HATUA KUMI MBELE WANARUDI ISHIRINI NYUMA NA KUJIPONGEZA.
1 kwa mara ya kwanza katika historia ya vyamavingi nchini chadema ilisimamisha wagombea katika kata zote 29 bila kuacha hata moja.
2 ndani ya miezi 24 baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 tumeweza kushinda kata zetu zote zilizorudia uchaguzi mdogo kwa maana yaRombo na Mtibwa na kuchukua kata tatu mpya zilizokua za CCM baada ya uchaguzi
3 katika kipindi cha wiki tatu za kampeini tumekwenda katika vijiji 116 na kuuunda matawi mapya na kusimika uongozi wa kata namatawi.
4 ukichukua kura tulizopata 2010 kwenye hizo kata ukilinganisha na sasa hakuna kata hata mmoja ambayo kura zimepungua kwa asilimia maana yake ni kwamba tumeongeza kura kwa kiwango kikubwa.
5 pamoja na CCM kutumia rushwa na vitisho kupiga kuumiza na kujeruhi vviongozi na wanachama wetu bado tumezidi kuimalika kwamaana ya mtandao wa kichama na kuongeza wanachama wapya.
CCM KUSHANGILIA MATOKEO HAYA NI SAWA NAMTU ALIYEKUA NA WATOTO KUMI WAKIFA WAWILI ANAANZA KUJIPONGEZA WENYE AKILI WATAMSHANGAA MAANA ANAFURAHIA KIFO CHA WATOTO WAKE MWENYEWE.
MAKAMANDA ONGEZENI BIDII CCM INATOKA 2015.HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE.
 
Uchambuzi kama huu hakuna mwana ccm hata mmoja atakeuelewa, akili zao ndo zimeishia pale
 
Nape ana mtindio wa kufikiri, yeye huwa anakurupuka bila kufanya analysis. Najua saizi ameishaelewa somo na ameona kuwa CDM imefanya progress kubwa, hasa kwa kusimamisha wagombea udiwani kata zote, kitu ambacho zamani ilikuwa historia.

CDM wanatakiwa kwenda mbele zaidi kwa kufungua ofisi za kudumu kila wilaya ambazo in future ziratibu zoezi zima la kupata wagombea wenye viwango. Kuna baadhi ya kata wagombea walikuwa chini sana ya kiwango but wametoa ushindani wa hali ya juu kwa CCM iliyokuwa na miundombinu kwa miaka mingi kwenye hizo kata
 
Ni kweli Kamanda Heche kanena ukweli mtupu huwezi beza mafanikio wakati yanaonekana Kata zilizoongezeka zimetoka mikononi mwa CCM
 
Nadhan Nape alitegemea CDM wangeshinda kata nying zaid, kutokana na vuguvugu lililokuwepo. Cha ajabu anashangilia bila kutafakar nan kapoteza. Hongeren CDM
 
Nape alitegemea CHADEMA watachukua kata 20 za ccm sasa kakuta zimechukuliwa kata 3 tu ndo maana anapiga mayowe
 
CCM WANAENDA HATUA KUMI MBELE WANARUDI ISHIRINI NYUMA NA KUJIPONGEZA.
1 kwa mara ya kwanza katika historia ya vyamavingi nchini chadema ilisimamisha wagombea katika kata zote 29 bila kuacha hata moja.
2 ndani ya miezi 24 baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 tumeweza kushinda kata zetu zote zilizorudia uchaguzi mdogo kwa maana yaRombo na Mtibwa na kuchukua kata tatu mpya zilizokua za CCM baada ya uchaguzi
3 katika kipindi cha wiki tatu za kampeini tumekwenda katika vijiji 116 na kuuunda matawi mapya na kusimika uongozi wa kata namatawi.
4 ukichukua kura tulizopata 2010 kwenye hizo kata ukilinganisha na sasa hakuna kata hata mmoja ambayo kura zimepungua kwa asilimia maana yake ni kwamba tumeongeza kura kwa kiwango kikubwa.
5 pamoja na CCM kutumia rushwa na vitisho kupiga kuumiza na kujeruhi vviongozi na wanachama wetu bado tumezidi kuimalika kwamaana ya mtandao wa kichama na kuongeza wanachama wapya.
CCM KUSHANGILIA MATOKEO HAYA NI SAWA NAMTU ALIYEKUA NA WATOTO KUMI WAKIFA WAWILI ANAANZA KUJIPONGEZA WENYE AKILI WATAMSHANGAA MAANA ANAFURAHIA KIFO CHA WATOTO WAKE MWENYEWE.
MAKAMANDA ONGEZENI BIDII CCM INATOKA 2015.HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE.

Huyu ndie Heche kiongozi wa vijjana CDM mwenye mawazo ya kuchukua nchi 2015! Hapa leo umeongea sio yule mwenyekiti wenu anaedai aandaliwa makabiziano ya nchi! 2015 mnatakiwa msimamie wagombea kata zote nchi nzima ili baada ya uchaguzi mjipongeze mmefanikiwwa kusimamisha wagombea sio kuchukua nchi! Watanzania wana akili nzuri wameshawajua nyinyi
 
KWA KUONGEZEA.

Nawashauri wana ccm hasa Nape, Ritz, na Chama wa gongo la mboto wajikumbushe kufanya hesabu za takwimu (statistic) za kidato cha tatu kwa kuchora graph (group bars au line graph) ya matokeo ya kata 29 ambazo zimefanya uchaguzi wa udiwani kwa kuoanisha matokeo ya mwaka 2010 na haya ya 2012 (miaka miwili baadae).

Mstari ulalo (x-axis) waweke majina ya kata na mstari wima (y-axis) wachague skeli itakayo kidhi idadi ya kura kwa miaka husika, baada ya kuchora waeleze taswira ya michoro kwenye graphs zao kwa mahasimu wawili (chadema na ccm). Halafu wawe wakweli wa dhamira kwa kueleza ukweli usio tawaliwa na akili za ki-ccm.

Majibu ya taswira ndio yatawaeleza ukweli kuhusu chama chao kama kinazidi kuporomoka au kinapanda? Na kama kinaporomoka ni chama gani kinapanda siku hadi siku?

HII HAIHITAJI KUWA na PHD (Pure head damage) KAMA BALALI au waziri ambae hatuwezi kumpata akijiZURU. :D
 
CCM WANAENDA HATUA KUMI MBELE WANARUDI ISHIRINI NYUMA NA KUJIPONGEZA.
1 kwa mara ya kwanza katika historia ya vyamavingi nchini chadema ilisimamisha wagombea katika kata zote 29 bila kuacha hata moja.
2 ndani ya miezi 24 baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 tumeweza kushinda kata zetu zote zilizorudia uchaguzi mdogo kwa maana yaRombo na Mtibwa na kuchukua kata tatu mpya zilizokua za CCM baada ya uchaguzi
3 katika kipindi cha wiki tatu za kampeini tumekwenda katika vijiji 116 na kuuunda matawi mapya na kusimika uongozi wa kata namatawi.
4 ukichukua kura tulizopata 2010 kwenye hizo kata ukilinganisha na sasa hakuna kata hata mmoja ambayo kura zimepungua kwa asilimia maana yake ni kwamba tumeongeza kura kwa kiwango kikubwa.
5 pamoja na CCM kutumia rushwa na vitisho kupiga kuumiza na kujeruhi vviongozi na wanachama wetu bado tumezidi kuimalika kwamaana ya mtandao wa kichama na kuongeza wanachama wapya.
CCM KUSHANGILIA MATOKEO HAYA NI SAWA NAMTU ALIYEKUA NA WATOTO KUMI WAKIFA WAWILI ANAANZA KUJIPONGEZA WENYE AKILI WATAMSHANGAA MAANA ANAFURAHIA KIFO CHA WATOTO WAKE MWENYEWE.
MAKAMANDA ONGEZENI BIDII CCM INATOKA 2015.HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE.

peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...........................................................................
 
Nape ana uwezo mdogo wa kufikiri

bora hata huo uwezo mdogo ungekuwa nao,angesubiri ukakua.....sasa ni zero brain unategemea nini hapo?..ila poa yote yanapangwa na mungu,yeye kuwepo katika nafasi hiyo CCM ni mpango wa Mungu CHADEMA ku-win tu
 
Huyu ndie Heche kiongozi wa vijjana CDM mwenye mawazo ya kuchukua nchi 2015! Hapa leo umeongea sio yule mwenyekiti wenu anaedai aandaliwa makabiziano ya nchi! 2015 mnatakiwa msimamie wagombea kata zote nchi nzima ili baada ya uchaguzi mjipongeze mmefanikiwwa kusimamisha wagombea sio kuchukua nchi! Watanzania wana akili nzuri wameshawajua nyinyi

your another ZERO BRAIN
 
Back
Top Bottom