Mbunge Musa Azzan Zungu akamatwa kwa tuhuma za Rushwa; TAKUKURU yashindwa kukamata ushahidi

Laptop01

JF-Expert Member
Nov 29, 2009
1,365
796
Sasa CCM rushwa kama mawingu na mvua. Musa Azzan Zungu, Mwenyekiti wa Bunge la JMT ndani ya Hati hati ya kujihusisha na vitendo vya rushwa. Namhurumia JK sijui atafuta chaguzi ngapi za taasisi za CCM?
 
Haitoshi tu kusema kuwa alijihusisha na rushwa bila kutoa maelezo ya kina ilikuwaje kuwaje mpaka kutuhumiwa kujihusisha na rushwa???
 
Kama hujui hiyo ni nguzo kubwa kati ya sera za chama chetu tawala. Mikono mitupu hailambwi ndugu yangu.
 
Rushwa ishazoeleka cha mhimu takukuru ingevunjwa ingependeza ili bajeti yake tujenge hata uwanja wa mpira itasaidia.
 
BAdo sijaelewa vilee...Nini kimetokea kwa idd azan...Noo... musa azan

Vs,
Taarifa ya hbr ya saa2 usiku ktk kituo cha tbc 1 imetangaza kuwa pccb-dodoma imewanyaka wa tz kadhaa wanaohusika na uchaguzi ktk jumuia ya wazazi ya ccm wakiwa ktk mchakato wa kutoa rushwa kwa wapiga kura.kumbuka kuwa Jumuia hiyo ipo ktk hatihati ya kumpata mwenyekitiwe. Miongoni mwa walonyakwa ni mbunge musa azzan zungu.
 
Hapa naona lugha gongana,una leta thread JF huku imejaa usiri.
 
31/10/2012


Habari kutoka TBC1 zinahabarisha kuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mussa Hassan Zungu na watu wengine watatu wamekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na rushwa katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM unaofanyika huko Dodoma.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma.




Source:
http://www.wavuti.com/4/post/2012/10/mbunge-wa-ilala-azzan-zungu-akamatwa-k
wa-tuhuma-za-rushwa.html#ixzz2AuAWuVTU
 
Ooooh YES ... CCM CCM is this true 4 REAL ? Not believable, does not comes right in MY MIND!!!
 
Hakuna kitu hapo... Ingekuwa ni Tindu Lisu ingekuwa ni habari... Hii utaishia kimya Kama ilivyokuja
 
31/10/2012


Habari kutoka TBC1 zinahabarisha kuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mussa Hassan Zungu na watu wengine watatu wamekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na rushwa katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM unaofanyika huko Dodoma.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma.




Source:
http://www.wavuti.com/4/post/2012/10/mbunge-wa-ilala-azzan-zungu-akamatwa-k
wa-tuhuma-za-rushwa.html#ixzz2AuAWuVTU

kama kwenye issue ya mbunge wa viti maalum ZAINABU VULLU alikamatwa LIVE anagawa pesa lakini mpaka hii leo ajafikishwa mahakamani jiulize why kwahiyo kama imeshindikana kwa ZAINABU VULLU itawezekana kwa ZUNGU.
Mungu tusaidie nchi hii yaani RULE OF LAW NI ZERO.
 
this is not news ni sawa na simba kala mtu ila mtu akila simba ndo uje utuambie...ni wala rushwa wote na sasa hivi mambo ya gas haya acha wachapane...:majani7:
 
Hamna la maana litakalofanyika,mambo yataisha kimya kimya kama kawaida yao.Utasikia ushahidi hautoshelezi kumfikisha mahakamani.
 
Back
Top Bottom