Ziara ya rais Kikwete Arusha yaahirishwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ziara ya rais Kikwete Arusha yaahirishwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NSHIMBA NG'OSHA, Oct 31, 2012.

 1. N

  NSHIMBA NG'OSHA Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka.

  Mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
   
 2. M

  Magesi JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mm nimemuona ila cjaelewa au ni mambo ya kiusalama
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe umejuaje kama ameahirisha wakati hujui chochote.Acheni kukurupuka kwanini usisubiri ndo uje na habari ya kueleweka.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  asiahirishe tu bali asije kabisa hatumtaki huku
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unataka kusema kwamba Arusha si mahali salama kwa Raisi Kikwete? au ulikusudia kusema nini.
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ye aende tu msoga, arusha anafuata nn??
   
 8. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inaoneka kawahi kumchapa hata mkeo na bakora yake maana hicho ndo anachokijua hii ya maendeleeo huwa anawapelekea waarabu sio hapa Arusha...So Ukome kabisa
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Alichakachua matokeo ili atuletee maendeleo, na hiyo fedha hatoi mfukoni mwake, ni fedha yetu, ni kodi zetu kwahiyo usijishebedue bure hapa. Kwa Arusha mtaisoma namba kwa sana...
   
 10. Goheki

  Goheki JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Labda amealikwa USA kuangalia madhara ya kimbunga sandy
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Si tayari unasikia amerudia Arumeru baada ya ufunguzi wa Taasisi ya Nelson Mandela, sasa hivi yupo KIA anajiandaa kurudi Msoga,
   
 12. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Msoga bhana akikosaga lakufanya huzurulazurula tu........
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mwanaasha amepatwa mafua ghafla, anaenda kumwona then atarudi kukifungua hicho chuo
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ze commedy walikataa kwenda arusha akaona soo......
   
 15. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa si atakuwa anapanda ndege kwenda Arusha, unashanga nini hapoooooo

   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]
   
 17. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mkuu waifaham arusha au wajiropokea? Kutoka KIA mpaka arusha town ni km 44, sasa alipanda hyo ndege kwenda arusha ipi?
   
 18. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hahahahahah maisha bora kwa kila mtanzania, chek bakora vasco dagama anazowachapa wa tz!
   
 19. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45


  Sijui, ila mpaka sasa huku Arusha kuna gari la matangazo wanatangaza kuwa kesho ndo JK atazidua Jiji la Arusha, na sherehe zitafanyikia katika uwanja wa makumbusha ya azimio la Arusha.

  Yawezekana ni ratiba tu imebadilika, au atamtuma mtu mwingine badala yake. Tusubiri kama tutasikia matangazo ya kuahirisha basi tutawajuza.
   
 20. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Anawahi kwa Obama kwenda kutoa pole......
   
Loading...