Rushwa bado kilio CCM

Rushwa bado kilio CCM

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
858
Reaction score
131
[h=1][/h]Suala la rushwa miongoni mwa maafisa wa chama Tawala nchini Tanzania, CCM limetawala vichwa vya habari nchini humo, baada ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, TAKUKURU, kukamata kada mwandamizi wa chama hicho.
Aliyekamatwa ni Mussa Azzan Zungu ambaye ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM. Ili kujua namna kukamatwa kwa bwana Zungu kulivyopokelewa ndani ya CCM, Daniel Gakuba amezungumza na katibu mwenezi wa chama hicho Nape Nauye.Mwandishi. (Kusikiliza mahojiano tafadhali bonyeza alama ya spika masikioni)
Mhariri: Mohammed Khelef


[h=4]Sauti na Vidio Kuhusu Mada[/h]
[h=2]Mahojiano ya Nape Nnauye na Daniel Gakuba[/h]

Bonyeza mahojiano


AUDIO | DW.DE
 
Rushwa na CCM ni pete na kidole! huwezi kuwatenganisha.
 
Kwani kuna anayebisha? Hata mwenyekiti wao ameshakiri kuwa rushwa na ccm ni damu damu
 
Mwenyekiti wao (JK) aliingia madarakani kwa rushwa, unategemea awe na ubavu wa kuwakemea wala rushwa!!!
 
kama mwenyekiti alipo yupo kwa sababu ya rushwa ni nani basi ambae atapata uongozi ndani ya ccm bila rushwa?
 
Hii ndo staili pekee wanayoijua ya kuwapatia madaraka hawana jipya.


“Kill, Destroy, Sack, Tell lie; how much you want after victory nobody asks why?”
Adolf Hittler-Mein Kampf.
 
Rushwa ni ngozi kama lilivyo gamba lao kwa haya manyinyiem.
 
Yaani hawa jamaa wanapenda rushwa mpaka naona nyumba zao wanaziongoza
kwa rushwa mzazi akitaka mtoto aende shule anampa rushwa,baba akitaka unanihii
kwa mama anatoa rushwa..hii hatari kabisa.
 
Back
Top Bottom