CHADEMA, acheni kuichezea serikali kuweni na nidhamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, acheni kuichezea serikali kuweni na nidhamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Oct 31, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.

  Chadema mnatakiwa kujitathimi upya na harakati zenu za kisiasa toka mlipotoka mpaka mnapoelekea hivi sasa. Acheni kuichezea serikali.

  Katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, Chadema walianza kwa kupinga matokeo ya Rais yaliyompa ushindi Jakaya Kikwete, wakasusa kuhudhuria tukio la kutangaza matokeo pale viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam. Wakasusa sherehe za kuapishwa kwa Rais, wabunge wao wakatoka nje ya Bunge wakati Rais Kikwete akizindua Bunge la Tanzania, kwa madai ya kutomtambua Rais.

  Hawakuishia hapo, baada ya ndoto zao za kuingia Ikulu kusambaratishwa na Watanzania, viongozi wa Chadema wakaanza kuandaa maandamano katika mikoa mbalimbali wakafanya hivyo Arusha, Mwanza, Mbeya, Songea, na Katibu Mkuu Dr Slaa aliendelea kuwahamasisha wafusi wake waingie barabarani kwa madai kaibiwa kura na nchi haitatawalika tena. Baadae huyo huyo Dr Slaa akawaongoza wenzake kwenda Ikulu kupeleka malalamiko yao kwa Rais ambaye hawamtambui.

  Chadema wakajiingiza kwenye migogoro ya migomo ya madaktari, walimu wakijifanya wanawasaidia, ziku hizi Chadema inawazushia Idara ya Usalama Taifa inazua kila jambo la hovyo. Walianza kulitumia gazeti moja kuishambulia Idara ya Usalama Taifa. Lakini mpya ni tamko lililotolewa mbele ya waandishi wa habari na Mwenyekiti wake Mbowe, ati wamegundua mpango kabambe wa Idara ya Usalama wa Taifa inataka kuwauwa viongozi wa Chadema. Wakadai wana ushahidi lakini hawako tayari kuupeleka polisi.

  Madai kama hayo wanapoyatoa kupitia vyombo vya habari wanataka Watanzania tufanye nini! Tuwaonee huruma, tuione serikali kuwa ni dhalimu, au hao wanaowindwa wana nafasi gani kwa familia zetu? Propaganda za kitoto kabisa.

  Serikali isitumie ule msemo wa kiingereza wa "Never urgue with a fool, people will never notice the difference" Hawa si "fools". Walishasema nchi haitatawalika.

  Bahati nzuri Watanzania wametoa hukumu sahihi kwenye uchaguzi wa madiwani katika kata 29.

  Copy to.. chama, Ngongo, Pasco, zomba, Mungi, na wanabodi wote.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. r

  raymg JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona ndo umeamka.....
   
 3. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Subiri utapewa ukuu wa wilaya mwakani kwa kuitetea serikali ya chama chako.!!!!!!!!
   
 4. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Ukifikiria kwa kutumia tumbo kuna mambo ya msingi huwezi kuyaona mpaka mchuzi unapokuwa umekwisha kwenye kibakuli.
  Ji ulize haya japo kwa akili za kupiga mbizi.
  1. kati ya hizo kata 29 unazo sema za ccm zilikuwa ngapi na chadema ngapi?
  2. chadema imeongeza kata za chama gani? jee inazidi kuumarika na ccm kuendelea kudhoofika au akili ya kawaida inakutumaje?
  3. mauwaji yaliyotokea yalisababishwa na nani kwa kutumiwa na nani? Je yangewezekana kwa viongozi wa chadema? kama ndiyo ni nani wangeweza kuuwa? (Fungua ubongo ukumbuke tukio la Mwangosi)
   
 5. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo MFUMO KRISTO, inabidi serikali iwaminye mashavu, ndio watasikia.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  vua hiyo baragashea, ubongo upate oxigen
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280

  Mtoi wewe sio mjinga kiasi kinachoangaliwa sio kutetea kata au kasi ya kushinda kata moja au mbili, kinachoongelewa ni nguvu ya kupata kata hizo na kupima mafanikio kwa chama chenye zaidi ya miaka ishirini kikizidi kufaidi ruzuku yetu.
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  serikali imesalimu amri kwa "peoples power" na kurejesha fao la kujitoa kwenye mifuko ya jamii, sasa wewe Ritz huoni kuwa anayewachezea wenzake ni serikali, na wala si chadema.

  ilikula njama za kuwadhulumu wanachama wa mifuko hiyo. ukilijua hili utaacha porojo za kivukoni na lumumba.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Chadema wamezunguka dunia nzima na wakasema wamechangisha shilingi bilioni tano kwa ajili ya M4C (Movement for Change) ndio imezaa kata 3. Kwako ndio mafanikio mmetumia Chopa 3 kwa ajili ya M4C na hatimaye mmepata kata 3.
   
 10. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  [TABLE="class: cms_table"]
  [TR]
  [TD]No.[/TD]
  [TD]KATA[/TD]
  [TD]CCM[/TD]
  [TD]CDM[/TD]
  [TD]Jumla[/TD]
  [TD]Tofauti[/TD]
  [TD]Tofauti Asili mia[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]1[/TD]
  [TD]Magomeni (Pwani)[/TD]
  [TD]1,478.00[/TD]
  [TD]479[/TD]
  [TD]1,957.00[/TD]
  [TD]999[/TD]
  [TD]51.047522[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2[/TD]
  [TD]Bangata[/TD]
  [TD]1,117.00[/TD]
  [TD]881[/TD]
  [TD]1,998.00[/TD]
  [TD]236[/TD]
  [TD]11.811812[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]3[/TD]
  [TD]Daraja mbili[/TD]
  [TD]1,324.00[/TD]
  [TD]2,193.00[/TD]
  [TD]3,517.00[/TD]
  [TD]-869[/TD]
  [TD]-24.70856[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]4[/TD]
  [TD]Mahenge[/TD]
  [TD]710[/TD]
  [TD]444[/TD]
  [TD]1,154.00[/TD]
  [TD]266[/TD]
  [TD]23.05026[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]5[/TD]
  [TD]Mtibwa[/TD]
  [TD]1,372.00[/TD]
  [TD]3,096.00[/TD]
  [TD]4,468.00[/TD]
  [TD]-1,724.00[/TD]
  [TD]-38.5855[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]6[/TD]
  [TD]Mtele[/TD]
  [TD]995[/TD]
  [TD]297[/TD]
  [TD]1,292.00[/TD]
  [TD]698[/TD]
  [TD]54.024768[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]7[/TD]
  [TD]Mpapai[/TD]
  [TD]1,443.00[/TD]
  [TD]280[/TD]
  [TD]1,723.00[/TD]
  [TD]1,163.00[/TD]
  [TD]67.498549[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]8[/TD]
  [TD]Luwumbu[/TD]
  [TD]565[/TD]
  [TD]25[/TD]
  [TD]590[/TD]
  [TD]540[/TD]
  [TD]91.525424[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]9[/TD]
  [TD]Malangali[/TD]
  [TD]1,247.00[/TD]
  [TD]1,418.00[/TD]
  [TD]2,665.00[/TD]
  [TD]-171[/TD]
  [TD]-6.41651[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]10[/TD]
  [TD]Lwezera[/TD]
  [TD]1,317.00[/TD]
  [TD]925[/TD]
  [TD]2,242.00[/TD]
  [TD]392[/TD]
  [TD]17.484389[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]11[/TD]
  [TD]Makata[/TD]
  [TD]808[/TD]
  [TD]38[/TD]
  [TD]846[/TD]
  [TD]770[/TD]
  [TD]91.016548[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]12[/TD]
  [TD]Mlelomiembeni[/TD]
  [TD]818[/TD]
  [TD]138[/TD]
  [TD]956[/TD]
  [TD]680[/TD]
  [TD]71.129707[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]13[/TD]
  [TD]Minyenze[/TD]
  [TD]378[/TD]
  [TD]167[/TD]
  [TD]545[/TD]
  [TD]211[/TD]
  [TD]38.715596[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]14[/TD]
  [TD]Karitu[/TD]
  [TD]854[/TD]
  [TD]354[/TD]
  [TD]1,208.00[/TD]
  [TD]500[/TD]
  [TD]41.390728[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]15[/TD]
  [TD]Kiloleni[/TD]
  [TD]648[/TD]
  [TD]166[/TD]
  [TD]814[/TD]
  [TD]482[/TD]
  [TD]59.213759[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]16[/TD]
  [TD]Ipole[/TD]
  [TD]365[/TD]
  [TD]568[/TD]
  [TD]933[/TD]
  [TD]-203[/TD]
  [TD]-21.75777[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]17[/TD]
  [TD]Bugarama[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]18[/TD]
  [TD]Mwananza[/TD]
  [TD]794[/TD]
  [TD]575[/TD]
  [TD]1,369.00[/TD]
  [TD]219[/TD]
  [TD]15.997078[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]19[/TD]
  [TD]Lubili[/TD]
  [TD]1,108.00[/TD]
  [TD]620[/TD]
  [TD]1,728.00[/TD]
  [TD]488[/TD]
  [TD]28.240741[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]20[/TD]
  [TD]Kitagiri[/TD]
  [TD]1,416.00[/TD]
  [TD]157[/TD]
  [TD]1,573.00[/TD]
  [TD]1,259.00[/TD]
  [TD]80.038144[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]21[/TD]
  [TD]Kikokona[/TD]
  [TD]1,149.00[/TD]
  [TD]367[/TD]
  [TD]1,516.00[/TD]
  [TD]782[/TD]
  [TD]51.583113[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]22[/TD]
  [TD]Nanjaraneha[/TD]
  [TD]1,128.00[/TD]
  [TD]2,370.00[/TD]
  [TD]3,498.00[/TD]
  [TD]-1,242.00[/TD]
  [TD]-35.506[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]23[/TD]
  [TD]Kilema Kusini[/TD]
  [TD]784[/TD]
  [TD]734[/TD]
  [TD]1,518.00[/TD]
  [TD]50[/TD]
  [TD]3.2938076[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]24[/TD]
  [TD]Vugiri[/TD]
  [TD]1,460.00[/TD]
  [TD]337[/TD]
  [TD]1,797.00[/TD]
  [TD]1,123.00[/TD]
  [TD]62.493044[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]25[/TD]
  [TD]Tamota[/TD]
  [TD]1,060.00[/TD]
  [TD]772[/TD]
  [TD]1,832.00[/TD]
  [TD]288[/TD]
  [TD]15.720524[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]26[/TD]
  [TD]Msalato[/TD]
  [TD]869[/TD]
  [TD]450[/TD]
  [TD]1,319.00[/TD]
  [TD]419[/TD]
  [TD]31.76649[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]27[/TD]
  [TD]Mpwapwa[/TD]
  [TD]1,722.00[/TD]
  [TD]1,189.00[/TD]
  [TD]2,911.00[/TD]
  [TD]533[/TD]
  [TD]18.309859[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]28[/TD]
  [TD]Myovizi[/TD]
  [TD]1,726.00[/TD]
  [TD]1,498.00[/TD]
  [TD]3,224.00[/TD]
  [TD]228[/TD]
  [TD]7.0719603[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]29[/TD]
  [TD]Mpapa[/TD]
  [TD]903[/TD]
  [TD]310[/TD]
  [TD]1,213.00[/TD]
  [TD]593[/TD]
  [TD]48.887057[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD]JUMLA[/TD]
  [TD]29,558.00[/TD]
  [TD]20,848.00
  [/TD]
  [TD]50,406.00[/TD]
  [TD]8,710.00[/TD]
  [TD]17.279689[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  Ongzea na hii
   
 11. M

  Mgelukila JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo mangapi serikali imefanya kwa juhudi za wapinzani? Upinzani wa kweli tanzania haupo sabb vyama vingi vya upinzani ni mamluki kwa ccm, kikitokea chama sahihi Tz kinaandamwa na mtu yeyote mwenye sera ya kupinga rushwa kwa dhati hatakiwi ndani ya ccm wanapenda political comedy.
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mtabadilisha slogan kila kukicha, kamba inazidi kukaza. Mkuu Ecoli, unaweza kuutumia leo msemo wa "chadema ni chama cha msimu?" naamini mnachofanya sasa ni kukusanya ushahidi unaowafelisha. CCM MMEKWISHA!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Nidhamu kwa nani? Huwezi kuwa na nidhamu kwa mpumbavu hata siku moja!!!!!
  Utakuwa na nidhamu kwa anayestahili kupewa haki ya Nidhamu.

  CHADEMA wameonyesha kwa vitendo, na wameonyesha kuwa wananidhamu, lakini siyo waoga.
  Wamewaonyesha watanzania kwa vitendo kuwa wapo tayari hata kufa kwa ajili ya kutetea haki zao ambazo zimekandamizwa na serikali ya kifisadi chini ya utawala wa ccm.
  CHADEMA wataendelea kuwa na nidhamu siku zote, wataendelea kuwa na nidhamu kwa wanyonge, lakini kamwa hawataweza kuwa na nidhamu kwa wahuni na wapumbavu
   
 14. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Vilevile CDM wameanzisha UAMSHO na kupelekea uvunjifu wa amani Zanzibar. Wamechochea UDINI kuanzia kule IGUNGA na hata kufikia kukataza watu wasihesabiwe. Wakafika mbali mpaka kuwaachia waalifu kama kina Ponda kwa shinikizo, wakamwachia muuwaji aliyemchinja Marehemu Mbwambo kule USA river. Nasasa kuona hili la kuzuia mafao mpaka ufikie umri wa kustaafu limeshindikana, wakaamua kuhamasisha rushwa na fujo kwenye chaguzi zote za ndani za CCM. Wamewashawishi viongozi wa CCM kutishiana bastola na hata kuzifyatua pasipo sababu za msingi. Wameigeuza TAKUKURU kuwa chombo cha kupalilia na kusafisha wala RUSHWA kwa kutumia kodi za wananchi. Kwa haya yangu machache pia, CDM acheni kuichezea SERIKALI.
   
 15. i

  iseesa JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe si USALAMA wa TAIFA? Mbuni huficha kichwa chake ndani ya Mchanga!!!!
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Huu ni upotoshaji wa makusudi na wa kijinga. M4C imepita Mtwara Lindi na Morogoro. Ilizinduliwa Jangwani. Morogoro CDM imechukua kata moja. Lakini kupata kata 3 katika mazingira yale ya uchaguzi ni kichaa pekee atakayeona CDM haijafanya vizuri
   
 17. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kumbe hukujua hata kwa nini walitoka nje? Pole sana... ila majibu ya kutoka nje ni watanzania wameyajua/ wameyaona "katiba Mpya" iyoooo

  Ndio maana huwa nakuita KILAZA, watanazania wapo kata29 tu?
  Hivi Tanzania ina kata ngapi na hizo unazopima ni asilimia ngap ya kata Zote Tanzania...
  kwa kutumia sample ya kata29 tu, unatoa conclusion ya kushindwa?

  Kweli Umenena vema "Never urgue with a fool, people will never notice the difference"
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280

  Jobi,
  Mafao ya kujitoa sio kazi ya Chadema ni wananchi wenyewe ndio wamelalamika kwa Rais, bahati nzuri JK msikivu kawasikiliza Watanzania msitake kudandia hoja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Hivi mwakyembe alilishwa sumu na wana cdm?
  Ni gazeti lipi linatumiwa na cdm kuishambulia serikali? Hapa umeshindwa kulitaja bila shaka huna ushahidi basi hayo ni majungu!

  Hebu tupe ushahidi mdogo kuwa husisha cdm na migogoro ya walimu na madaktari!
  Hapa ndio umepika majungu bila ushahidi!
  Ninani asiye fahamu kuwa ccmweli ni wezi wa kura?

  Matatizo anayo yapata jk kwenye uongozi wake yeye mwenyewe ndio mzizi!

  Hivi kuhusu hilo gazeti mlilipiza kisasi? Bado linatoa nakala?

  Je ni uongo gani umeandikwa humo? Tu dokeze japo kidogo, isije ukawa una piga kelele bure!

  Yan umeandika mtiririko wa habari bila facts hata kidogo!

  Mlizoea kuburuza watu bungeni sasa hivi mnachanganyikiwa!

  Hivi umeshawai kujiuliza kuwa kwa nini mmepoteza hizo kata zilizo kuwa chini yenu? Hivi mmeongeza au mmepunguza?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. S

  Shembago JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mpuuzi tu atakayesifia CCM kuwa imeshinda kwa kishindo,Sitashangaa kusikia alikuwa anapata single digit katika mathematics!!!
   
Loading...